Haijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15.
Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike. Nikaiandika na kumrudishua ili nione atafanyaje. Akawa kama anaisave hv, nikapiga jicho la kali la siri la pembeni kwenye screen yake nikaona amesave 'Fala 11'. Nikakaa kimya na kusogea pembeni huko upande wa kiti changu. Sikumuongelesha tena mpaka tunafika.......hajanitafuta mpaka leo na, kutokana na uzoefu, najua ndo basi tena.
Ila nimefarijika kidogo kuona kumbe kuna 'mafala 10' walionitangulia.
Usitoe namba, kuna ujinga mwingi utaumbuka km mimi!!