Ukimuomba namba demu na akakwambia 'andika/nipe yako', usijisumbue kuitoa; huhitajiki anakunyali tu!!

Ukimuomba namba demu na akakwambia 'andika/nipe yako', usijisumbue kuitoa; huhitajiki anakunyali tu!!

wa kwangu alisema nashuka kituo fulani nikikaribia nikumbushe nikupe namba,, kituo kimoja kabla nikamkumbusha na akanipa.Sikuwahi kupata demu kwenye daladala na sikuwaza kama mke wangu ningekutana naye kwenye daladala. Lakini ndo mke wangu wa ndoa sasa hivi na tunapendana sana.
Akikupa namba sio shida kuna washenzi wanakwambia 'nipe yako' alafu ya kwake hataki kukupa yaan hapo sahau kutafutwa
 
Haijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15.

Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike. Nikaiandika na kumrudishua ili nione atafanyaje. Akawa kama anaisave hv, nikapiga jicho la kali la siri la pembeni kwenye screen yake nikaona amesave 'Fala 11'. Nikakaa kimya na kusogea pembeni huko upande wa kiti changu. Sikumuongelesha tena mpaka tunafika.......hajanitafuta mpaka leo na, kutokana na uzoefu, najua ndo basi tena.

Ila nimefarijika kidogo kuona kumbe kuna 'mafala 10' walionitangulia.

Usitoe namba, kuna ujinga mwingi utaumbuka km mimi!!
Siku akifulia ataanza kutafuta msaada kwa mafala wote, akija ukupa anakusave dady
 
Haijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15.

Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike. Nikaiandika na kumrudishua ili nione atafanyaje. Akawa kama anaisave hv, nikapiga jicho la kali la siri la pembeni kwenye screen yake nikaona amesave 'Fala 11'. Nikakaa kimya na kusogea pembeni huko upande wa kiti changu. Sikumuongelesha tena mpaka tunafika.......hajanitafuta mpaka leo na, kutokana na uzoefu, najua ndo basi tena.

Ila nimefarijika kidogo kuona kumbe kuna 'mafala 10' walionitangulia.

Usitoe namba, kuna ujinga mwingi utaumbuka km mimi!!
We mzembe Kama umempa yako mwambie akutumie text hapo uhakikishe
 
Mimi dereva wa boda boda hapa Arusha, nikiwapa namba yangu huwa wananitafuta wakihitaji huduma ya usafiri😃
 
Mbona wanapigaga utasikia utaona inaishia na 78 mwishoni 😂🤣
 
Sasa kama ana mpenzi wake akutafute wewe ili iweje.

Wakati wewe mwenyewe ukiwa na mpenzi wako hutaki hata apigane kikumbo na mwanaume.
 
Inategemea unaandika sehem gn,,

Hivi kweli uandike Namba yako kwenye $100 usitafutwe ?
 
Kijana,

Unapata wap ujasiri wa kuomba namba ikiwa wote mpo kwenye usafir wa kimaskin?

Ndgu yetu jitafakar!
[emoji38][emoji38][emoji38]Kati ya siku ambazo umeongea, leo umezungumza jambo mkuu. Pitia K Vant kwa Mangi nitakuja nalipa
 
Some problems are easily avoided by staying far from women. Decency, prudence and caution demands that I go on a date with a woman I've been acquainted with, at least two weeks.

Punguza shobo kwa demu usiyemjua.
Mkuu umezungumza ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom