Akikupa namba sio shida kuna washenzi wanakwambia 'nipe yako' alafu ya kwake hataki kukupa yaan hapo sahau kutafutwawa kwangu alisema nashuka kituo fulani nikikaribia nikumbushe nikupe namba,, kituo kimoja kabla nikamkumbusha na akanipa.Sikuwahi kupata demu kwenye daladala na sikuwaza kama mke wangu ningekutana naye kwenye daladala. Lakini ndo mke wangu wa ndoa sasa hivi na tunapendana sana.
Siku akifulia ataanza kutafuta msaada kwa mafala wote, akija ukupa anakusave dadyHaijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15.
Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike. Nikaiandika na kumrudishua ili nione atafanyaje. Akawa kama anaisave hv, nikapiga jicho la kali la siri la pembeni kwenye screen yake nikaona amesave 'Fala 11'. Nikakaa kimya na kusogea pembeni huko upande wa kiti changu. Sikumuongelesha tena mpaka tunafika.......hajanitafuta mpaka leo na, kutokana na uzoefu, najua ndo basi tena.
Ila nimefarijika kidogo kuona kumbe kuna 'mafala 10' walionitangulia.
Usitoe namba, kuna ujinga mwingi utaumbuka km mimi!!
Siku akienda kuchukua dozi, asisahau kueleza kuhusu kadi huku shingo kaweka upandeKuna msela flani ivi yeye ni mtu wa totozi kaamua kutengeneza business cards kabsa , ni ngumu kuchomolewa na wadada asilimia kubwa wanamtafuta nafkir ana cheza smart sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We mzembe Kama umempa yako mwambie akutumie text hapo uhakikisheHaijawahi kutokea niliyempa akanitafuta! Nimewahi kuzitoa zaidi ya mara 15.
Jana nikabahatisha tena kwenye daladala, akanipa hadithi ileile, 'nipe yako' huku akinipa simu yake niandike. Nikaiandika na kumrudishua ili nione atafanyaje. Akawa kama anaisave hv, nikapiga jicho la kali la siri la pembeni kwenye screen yake nikaona amesave 'Fala 11'. Nikakaa kimya na kusogea pembeni huko upande wa kiti changu. Sikumuongelesha tena mpaka tunafika.......hajanitafuta mpaka leo na, kutokana na uzoefu, najua ndo basi tena.
Ila nimefarijika kidogo kuona kumbe kuna 'mafala 10' walionitangulia.
Usitoe namba, kuna ujinga mwingi utaumbuka km mimi!!
[emoji23][emoji23]Imagine Kuna fala 10 kabla yako
[emoji23][emoji23]Ulisema ulikutana nae kwenye daladala[emoji38]
Bas sawa, ila pole sana Fala11.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana mkuu.wa kwangu alisema nashuka kituo fulani nikikaribia nikumbushe nikupe namba,, kituo kimoja kabla nikamkumbusha na akanipa.Sikuwahi kupata demu kwenye daladala na sikuwaza kama mke wangu ningekutana naye kwenye daladala. Lakini ndo mke wangu wa ndoa sasa hivi na tunapendana sana.
Huu ni wivu mkuu🤣🤣🤣🤣😅Siku akienda kuchukua dozi, asisahau kueleza kuhusu kadi huku shingo kaweka upande
[emoji16][emoji16][emoji16]KYAIInategemea na " UStrength" wako !!..
Wengine tunatoa, nantunatafutwa na kukumbusha kabisaaa "Vipi nikuletee Sahizi?".
[emoji38][emoji38][emoji38]Kati ya siku ambazo umeongea, leo umezungumza jambo mkuu. Pitia K Vant kwa Mangi nitakuja nalipaKijana,
Unapata wap ujasiri wa kuomba namba ikiwa wote mpo kwenye usafir wa kimaskin?
Ndgu yetu jitafakar!
Mkuu umezungumza ukweli mtupuSome problems are easily avoided by staying far from women. Decency, prudence and caution demands that I go on a date with a woman I've been acquainted with, at least two weeks.
Punguza shobo kwa demu usiyemjua.