Ukimuondoa Zamalek Kombe la Shirikisho naomba, wanitajie timu ambayo ingeweza kuichalenge Yanga hii iliyotolewa Klabu Bingwa!

MC Algers mmewashindwa mnakuja kujiliwaza huku nyambaf**** ninyi maneno yatawaponza kutwa midomo tu,kamdomo ndio shida yenu kubwa punguzeni midomo
 
Reactions: Tui
Kwa hiyo mmeshapita kwa hao vibonde au akili mmehamishia wapi ,hapo anayeonekana kibonde ni nani aliyepita au aliyerudi nyumbani
NB wenye akili wanabaki kuwa wale wale
 
Reactions: Tui
Utakuwa unaumia sana utopolo, peleka basi hiyo yanga yako. Kwani timu zilizokutoa nashindanoni zina ubora gani wa maana hasa?
 
Reactions: Tui
Alikamwe kwenye ubora wako hahahahaha
 
Azam alicheza klabu bingwa yeye ni bingwa wa nini?
 
Kwahiyo mmetamani mngeshiriki Shirikisho. Acheni uduanzi
 
Siwapendi watu wapuuzi dizaini hii, kwani unazo akili timamu?

Kama una akili timamu jibu hoja zifuatazo
1. Kwanini tumtoe zamaleki wakati na yeye yupo huko huko unapopaita kwa akina mama?

2. USM algers naye yupo huko kwa akina mama na ulikutana naye huko huko kwa akina mama, alikufanya nini?

3. Wakati simba anaenda kucheza na all ahli tripoli mkasema ameumaliza mwendo mlijua kuwa hayo mashindano no ya akina mama au mmelijua hill alipoongoza kundi?

4. Wakati yanga anacheza fainali shirikisho simba akiwa CAFCL mliwahi kusema kuwa tukimtoa USM algers nano was kumfunga simba?

5. CAFCC kama mashindano yameanza link kuwa ya akina mama, kabla ya yanga kucheza fainali au baada?
 
Yanga ikiwa imepata changamoto ya kuzabuliwa nyumbani na Al hilal jua huko shirikisho hata mechi za awali asingetoboa!
 
Wana Yanga wenzangu ningewaomba tu tuache kujifariji kwa vitu visivyo na maana. Yanga alikuwa Klabu bingwa na yuko shirikisho kuna uhusiano gani. Sisi tumeshindwa kwenye saizi yetu tukae kimya, tuwaache waendelee badala ya kujipa moyo tu. Tujipange kwa msimu ujao. Hata hivyo Simba tunawazidi nini, sababu hata NBCL wanaongoza.
 
Shida ya yanga wanapambana kuifutia simba standard walizoweka ndio shida. Wakati simba anawaza kupanga mbele Yanga wanaweza kuzuia na kujishusha simba isisonge mbele ambao ni wivu wa kichawi.
Wasichokijua yanga Simba ni mzoefu sana wa haya mashindano na anapitia mchakato halisi wakwenda kwenye mafanikio.


Maana ilianza tutafyeka kichaka wakachukua makwanja wakitarajia kichaka cha mchicha kumbe ni msitu wa mipingo
 
Baada ya kuwa busy azam federation nyie mko busy na yasiyowahusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…