Ukimwaga Mboga Namwaga Ugali na Maji ya Kunawa.

Tzabway

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
262
Reaction score
170
Jana niliingia library, palikuwa kimya sana. Wakati natafuta mahali pa kukaa, nikakutanisha macho na mtoto mmoja hivi shombe-shombe mkali balaa. Akatabasamu kisha akainamia kitabu chake, akaendelea kusoma.

Moyoni nikajisemea : " FURSA "
Nikamsogelea, kwa sauti ya chini sana iliyotutosha sisi wawili tu nikamchombeza : " Habari mrembo! Ninaweza kukaa hiki kiti cha jirani yako? "

Akanijibu kwa sauti kubwa mno hakuna ambaye hakuisikia mle ndani :
"SIWEZI KULALA NA WEWE, LABDA UNIROGE"

Kila mtu alinigeukia mimi na kunishangaa. Kwa unyonge nikaenda kukaa kwenye nafasi nyingine iliyokuwa wazi. Baada ya dakika mbili yule mrembo akanifuata hadi nilipokuwa nimekaa. Akiniambia kwa sauti hafifu mno : " Ninasoma Psychology, hivyo ninajua unachofikiria. Unajihisi nimekuaibisha sana..sio? "

Nikaropoka kwa sauti kubwa : "LAKI 2 KWA USIKU MMOJA TU! AH... WAPI! LABDA UNIROGE". Kila mtu alicheka kwa sauti mle library.

Halafu nikamwambia kwa sauti ya chini mno : " ninasoma sheria, ninajua kumfanya mtu ajione mwenye hatia "
 
Aisee
 
Nina uhakika kama librarian alikuwepo basi mtakuwa mmetolewa nje wote kwa kupiga kelele library
 
Bro umenifanya nicheke kwa mara ya kwanza toka pamekucha [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom