Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Mtanzania ni mtu ambaye kwa kweli ni ngumu sana kujua anataka nini. Watanzania wengi kama si wote. Ashamum si matusi. Wamejawa na Unafiq wa SGR. Kama ni barabara basi kiwango cha Lami.
Tena Lami ya miaka yetu ile inatengenezwa na Kajima au Konoike.
Mtanzania unaweza ukamwona kwa mbali hivi...ukamwona ni kama mnafiq flani hivi msogelee kwa karibu. Ndipo unagundua ni kweli ni mnafiq.
Wengi hawajulikani wanataka nini na wanaamini nini. Kweli yake ya jana si kweli ya leo. Yaani wapo wapo tu. Hawana msimamo. Wanasiasa, waandishi wa habari, viongozi, Raia yaani... Wanakwambia maisha bila unafiq hayaendi.