Dr Louis
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 443
- 426
Ndiyo huyo mkuu.Kuna Suzy mmoja na mimi nilisoma nae toka msingi naona anajaa kwenye 18 au ndiye huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo huyo mkuu.Kuna Suzy mmoja na mimi nilisoma nae toka msingi naona anajaa kwenye 18 au ndiye huyo.
Hahahahhaahahhaaaaaaaaa acha woga ukimwi haui kwa haraka wewe.Kwakua hujasema anakaa wapi..kuanzia sasa naanza kwa Ku delete namba za kina Suzi wawili kwenye simu yangu...ctaki ujinga
tehe tehe tehe khaaaaMkuu huyo Suzy yupo mkoa Gani usikute ni huyu anaeninyemelea!!!
Mkuu ukiwa nao unaota ndoto za makaburini tu...daah ni hatariHahahahhaahahhaaaaaaaaa acha woga ukimwi haui kwa haraka wewe.
HahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaMkuu ukiwa nao unaota ndoto za makaburini tu...daah ni hatari
Hahahahahahaaaa!!!unaniua kwa kicheko Rapha,hakika nimecheka sana,pole chukua tahadhariMkuu huyo Suzy yupo mkoa Gani usikute ni huyu anaeninyemelea!!!
Hakika mmenifueahisha sana Leo,mbona mwaogopa hivyo ukimwi ,wakati kuna cancer, kisukari,na mengine meengi watu hawaogopiHa ha ha hahahaha jamani
Uyo mrembo kwa avatar yako anavutia sanaumeponea chupu chupu.... Acha zinaa tafta mmoja uoe iko siku utaja yapata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Pima bwanaaaKuna sehem nimecheza, yani nikipima nikakuta sina aisee Sigegedi tena.
Kuna binti alibakwa na jambazi kwanza alitolewa bikira mbele na nyuma akapata ujauzito na maambukizi haikuishia hapo baba yake aliuawa usiku huo,We all make mistakes, we all have our ups and downs! Lakini bado tunaishi kwa Neema tu, tulishapita mahala pabaya zaidi na ukiangalia ulikopita unajikuta machozi yanatoka, unafunga mkanda unasimama unaendelea mbele, unamshukuru MUNGU. Ukiangalia watu ulio-date nao ni wengi na wagonjwa ni wengi lakini wewe ni mzima, Mshukuru MUNGU tu.