Ukimwi hauonekani kwa macho, namshukuru MUNGU wangu

Unyanyapaa huu sio vizuri. Mwenye HIV, Presha na Kisukari wote wana maradhi yanayohitaji dawa hadi mwisho wa maisha. Hivyo tuvumiliane, tuheshimiane na tuthaminiane bila kujali huyu anaumwa ugonjwa gani.
 
We all make mistakes, we all have our ups and downs! Lakini bado tunaishi kwa Neema tu, tulishapita mahala pabaya zaidi na ukiangalia ulikopita unajikuta machozi yanatoka, unafunga mkanda unasimama unaendelea mbele, unamshukuru MUNGU. Ukiangalia watu ulio-date nao ni wengi na wagonjwa ni wengi lakini wewe ni mzima, Mshukuru MUNGU tu.
 
umeponea chupu chupu.... Acha zinaa tafta mmoja uoe iko siku utaja yapata
 
Ili baki kidogo tu uruke sarakasi kwenye transformer
 
Kuna binti alibakwa na jambazi kwanza alitolewa bikira mbele na nyuma akapata ujauzito na maambukizi haikuishia hapo baba yake aliuawa usiku huo,
Dunia tambara bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…