UKIMWI na ajira maofisini

UKIMWI na ajira maofisini

funguo

Member
Joined
Nov 22, 2011
Posts
24
Reaction score
36
jambo JF

tuko pamoja..........leo naendelea na utaratibu ule ule wa kukumbushana juu ya suala hili la Ukimwi na virusi vya ukimwi...

leo tuangalie hili suala limekaaje maofisinimwetu.kama mnavyofahamu mimi pia ni muathirika ninaeendelea n akazi zangu kama kawaida...najitambua na wala hainipi shida.

ofisi nyingi haziajiri watu walioathirika once wanapowaita kwenye ajira na kuwapima afya zao.........hili suala kwa nini lipo hivi?

sioni kama is healthy kwa ofisi kunyanyapaa watu hawa while naweza kuajiriwa na baada ya sikU kadhaa WAkawa positive.............najua hap akuna maHR na ma Public relations oficers..........naomba mniambie hadi sasa nyie bado mna ile styl ya kunyoosheavidole?.........bado mnakua hamuajiri wenye VVU?..come on wake up!!!!..

mimi i have been positive for some years and working confidently and healthier!!!! sometimes i do even forget am positive..why should I?i talk;laugh and am expecting my next job interview i will tell you HR with a smile that am Positive!!! how will you take that once you realize ave scored the highest and i deserve the post??tafakari.......stop the stigma..lets fight together...

am still looking foward for a strong;confident and responsible woman to take off for a lovely marriage life....whether ur positive or negative.......am not thinking to infect by any means a negative one...stay blessed nice weekend
 
funguo im trying to understand thesituation:
Never let someone’s opinion become yourreality.Never sacrifice who you are because someone else has a problem with it.Love who you are inside and out....ubarikiwe sana

 
Kwa mujibu wa sheria ya Ajira na Mahusiano kazini ya mwaka 2004.Mwajiri hana mamlaka ya kumtenga mfanyakazi kwa misingi ya kuwa ni Mwathirika.Ni kosa kufanya hivyo.
Lakini yaweza tokea aina ya kazi ambayo kwa kuathirika huko hutaweza fanya kazi husika hapo discrimination inaruhusiwa kufanyika.
Makampuni mengine yana sera zinazohusu VVU/UKIMWI.Washauri hapo kwa ofisi yako mtengeneze hiyo iwe msaada kwa waathirika watarajiwa.
All the best Mkuu.
Christ In You the Hope of Glory.
 
siku zote huwa najiuliza,doctors na nurses wangesema hatuhudumii waathirika ingekuwaje? You are discriminating some one while you have not tested huku mwingindd anajichoma na sindano akihangaika kumtoa damu mgonjwa kwa ajili ya vipimo.! Kuna wengine huwa wanazuia ili kupata sample space kubwa ya wanawake wa kuwanyofoa. Hiv infection doesnt hinder someone from performing his/her activities unless is severly ill au ana viral encephalitis
 
you go mkuu,keep living healthy and remember that God is watchin over you :amen:
 
dah, umeleta hii mada wakati muafaka.

Kuna binti mmoja walitaka kumwondoa kisa ameanza kuugua eti analipwa bure.

Alilazwa kama miezi 3 -4 hivi.
 
dah, umeleta hii mada wakati muafaka.

Kuna binti mmoja walitaka kumwondoa kisa ameanza kuugua eti analipwa bure.

Alilazwa kama miezi 3 -4 hivi.

makampuni binafsi yanaongoza kwa unyanyapaa!
 
Hongera mkuu kwa positive thinking; na Mungu akujalie matakwa ya moyo wako.

Be blessed!

huyu hana +ve thinking, bali ana health inferiority ndo maana anasema hajui HR atamchukuliaje. si lengo langu kukuhukumu, na wala si vyema kufikiri unabaguliwa
kama unaamini uko na +ve thinking, we nambie ushasikia wapi mtu ansema mi nina malaria au typhod lakini sijui kazini watanichukuliaje?
komaa kimtindo na msongo mawazo, muombe sana Mungu azidi kukujalia afya njema, pia andaa maisha ya wanao na yako ya baadaye
 
hata wewe andaa maisha yako ya baadae na wanao sio yeye tu. sote safari moja. si ajabu wewe unajiona una afya ukatangulia mbele ya haki ukamwacha huyu mwenzio alokubali hali yake.

huyu hana +ve thinking, bali ana health inferiority ndo maana anasema hajui HR atamchukuliaje. si lengo langu kukuhukumu, na wala si vyema kufikiri unabaguliwa
kama unaamini uko na +ve thinking, we nambie ushasikia wapi mtu ansema mi nina malaria au typhod lakini sijui kazini watanichukuliaje?
komaa kimtindo na msongo mawazo, muombe sana Mungu azidi kukujalia afya njema, pia andaa maisha ya wanao na yako ya baadaye
 
funguo mbona hujaweka vigezo vingine muhimu kwenye uhusiano eg umri wako, dini yako na vya huyo umtakaye apart from being +
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom