UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Baada ya kutafakari kwa kina nimegundua UKIMWI sio ugonjwa ila ni biashara ya big pharmaceutical industries.

Hebu jaribu kufatilia na wewe, kwanini ugonjwa huu umepewa kipaumbele kikubwa hivyo na serikali za dunia ya tatu kuliko kwa magonjwa mengine? Jibu ni moja tu wanalazimishwa na huko wanakoomba mikopo na UN (United Nations)wanacontroliwa na US coz 23% ya bugdet yao anatoa USA.

USA ni cooperation owned by Rockafella, uhuni uko hapa pharmaceutical industries karibia zote za usa zinamilikiwa na hii familia ya Rockfella. Rockfella ni lucifer bloodline ambayo inachowaza ni kututawala na pesa tu.

Kwa first world countries concentration iko kwa ugonjwa mwingine uitwao cancer. Research it!!!!!!

Ugonjwa huu unapatikana kupitia vitu vinavyosababisha mwili kuwa more acidic (cocacola,mcdonald,GMO) bidhaa ziko nyingi na zimethibitika kabisa kusababisha huu ugonjwa. Kwanini ugonjwa huu usizuiwe kwa kuzipiga marufuku hizi bidhaa? Hapana hawawezi kwa sababu cancer industry inailetea USA 200 BILLION USD each year.

Chanzo cha UKIMWI sio kutia dyudyu ila kupima. Wanakusisitizia upime ukishapima tu wanakulazimisha ARVS. Hapo ndo safari ya matumaini inaanza. Safari hii ndo inakupeleka kwenye upungufu wa kinga mwilini. Nina imani sasa wote mmeona inachokifanya ARVS kwa wagonjwa, mosi inakunenepesha kama nguruwe, pili inakufanya addict, tatu inaanza kuharibu sehemu muhimu za mwili ikianzia na ini, moyo na figo na kongosho.

Mwisho wa siku upungufu wa kinga unakujia kutokana na hizo sehem kufail (HAINA UBISHI TENA ARVS NDO SABABU YA UGONJWA HUU).
 
HIV imepewa kipaumbele na serikali za dunia kwakua ni infectious disease ambayo mpaka sasa hivi haina tiba ingawaje inaweza kuwa controllable.

HIV husabsbisha upungufu wa kinga na si kweli kuwa ARV’s huleta upungufu wa kinga mwilini.
Unapotumia ARV unaangaliwa kidney function levels kila mara na unabadilishiwa dawa kama levels zinashuka.

Ni muhimu kujitunza usipate HIV
 
Ukisikilkza hata matangazo mengi ya HIV/AIDS yamejikita katika kutanagza biashara ya ARV na sio kupunguza wala kukinga maambukizi ya huu ugonjwa, wanasema nenda kapime uanze Kutumia ARV..kwanini wasijikite zaidi kwenye preventiona ya ugonjwa.

The world is full of dramas.
 
Ni kwasababu kama umepata maambukizi ARV’s zitasaidia kuimarisha afya yako pia usiambukize wengine
 
Resistance imeshika kasi!
Watu wanakufa ovyo walahi!
Biashara kuu ya Mzungu hii
Mzungu mjanja sana. Kwa sababu ukiangalia ugonjwa ulipokaa kuukosa sio jambo rahisi kabisa hasa kama unashiriki mapenzi
 
Wajanja tushalijua siku nyingi tunawaangalia tu watu wanaohangaika nalo, hapa ugonjwa ni kansa na homa ya ini.... Tatizo watu hatupendi kusoma na kufanya tafiti, tunapenda kuamini kwa kusikia.
 
RAV’s ndiyo zinatufanya bado tuwapigie makofi watu kibao tukisema hoyeeee. Bila ARV’s sasa hivi tungekuwa tumesha wa RIP.
 
Kinga ya mwili inaposhuka unakuwa hatarini zaidi kupata cancer. Kheri ujue status yako mapema uitunze afya yako na uanze kubugia ARV”s.
 
Waandishi wababaishaji kama nyie mnatakiwa mlipishwe fidia na kupigwa ban humu..maana Unajua ni watu wangapi watafuata uongo wako!??
Ni wagonjwa wangapi wataogopa lunywa dawa kwa 7bu ya uongo wako!?

No research no right yo speak!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…