Sikuombei ulifikie mpenzi wangu! Mungu akuepushe nalo tu. Ila kuwa makini sana[emoji12]Nitalivuka daraja nikilifikia [emoji23][emoji23]
Homa ya ini inatisha. Bora huyo Ukimwi kuliko Cancer.Wajanja tushalijua siku nyingi tunawaangalia tu watu wanaohangaika nalo, hapa ugonjwa ni kansa na homa ya ini.... Tatizo watu hatupendi kusoma na kufanya tafiti, tunapenda kuamini kwa kusikia.
MadekoGood Girl.... tunatakiwa kuelimisha na wengine zaidi, eti mtu anajiua kisa kakutwa na HIV so pathetic na wa kansa afanyaje sasa.
Amina mama. Na mie sitaki nifike maana najua stress ntakayopata kujua kinga imeshuka. Niko makini sana na juzi tu jumapili nimepima japo sio kwa ridhaa yanguSikuombei ulifikie mpenzi wangu! Mungu akuepushe nalo tu. Ila kuwa makini sana[emoji12]
Hakuna cha bora shoga vyote hapo vigumu, Mungu atuepushie.Homa ya ini inatisha. Bora huyo Ukimwi kuliko Cancer.
Wanasema ukianza kutumia mwanzoni ARV unaona maluweluwe unakua kama mgonjwa wa akili ila zikishakukubali mwendo mdundoKuna mtu alikutwa na huu ugonjwa alivyoenda clinic kupima, alijikubali na hali akaanza dawa cha ajabu anachanganyikiwa !!
mwisho familia yake imemkatisha dozi karudi katika hali ya uzima wanasubiri matokeo maana hawana jinsi!!
Wangemueleza daktari wake haya. ARV’s ziko za Amina nyingi na kuna ambazo hazikubakiani na damu yako.Kuna mtu alikutwa na huu ugonjwa alivyoenda clinic kupima, alijikubali na hali akaanza dawa cha ajabu anachanganyikiwa !!
mwisho familia yake imemkatisha dozi karudi katika hali ya uzima wanasubiri matokeo maana hawana jinsi!!
Alitumia miezi sita, kiukweli ilinifanya niuogope Ukimwi zaidi ya nilivyokua naogopa mwanzo.Wanasema ukianza kutumia mwanzoni ARV unaona maluweluwe unakua kama mgonjwa wa akili ila zikishakukubali mwendo mdundo
Kitu change kupungua makali kina ubora. Usiombe uambiwe una cancer halafu usiikubali hata miezi sita humalizi. Bora ARV zinakusaidia huku zinakumaliza taratibu hata kama hujajikubali.Hakuna cha bora shoga vyote hapo vigumu, Mungu atuepushie.
Nimepoteza wapendwa wangu wawili kwa Homa ya Ini, yaan ile ukikutwa nayo mwaka haumalizi unajijua kabisa kifo hicho apo... Sad.Homa ya ini inatisha. Bora huyo Ukimwi kuliko Cancer.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilikuwaje ukapima pasipo ridhaa yako?[emoji12]Amina mama. Na mie sitaki nifike maana najua stress ntakayopata kujua kinga imeshuka. Niko makini sana na juzi tu jumapili nimepima japo sio kwa ridhaa yangu
Kumbe, basi hawana hii elimu.Wangemueleza daktari wake haya. ARV’s ziko za Amina nyingi na kuna ambazo hazikubakiani na damu yako.
Ndo shida. Unaumwa ugonjwa unaojua hakuna dawa ni wewe kujiweka tayari maana siku zako za kufa unaziona kabisaNimepoteza wapendwa wangu wawili kwa Homa ya Ini, yaan ile ukikutwa nayo mwaka haumalizi unajijua kabisa kifo hicho apo... Sad.
Bora walivyomkatisha, hapo apigwe mlo kamili pia aanze kutumia Mlonge fasta tu CD4 zinapanda anaenjoy maisha yake.Kuna mtu alikutwa na huu ugonjwa alivyoenda clinic kupima, alijikubali na hali akaanza dawa cha ajabu anachanganyikiwa !!
mwisho familia yake imemkatisha dozi karudi katika hali ya uzima wanasubiri matokeo maana hawana jinsi!!
Acha mama nina rafiki yangu ana saratani ya shingo ya kizazi stage ya kwanza halafu amegoma kutoa kizazi uwiii yaani naogopa, tumemshauri tumechoka maana hana mtoto anasema hawezi kufa bila kuzaa.Kitu change kupungua makali kina ubora. Usiombe uambiwe una cancer halafu usiikubali hata miezi sita humalizi. Bora ARV zinakusaidia huku zinakumaliza taratibu hata kama hujajikubali.
Ila si bado atakua kaathirika?Bora walivyomkatisha, hapo apigwe mlo kamili pia aanze kutumia Mlonge fasta tu CD4 zinapanda anaenjoy maisha yake.
Mwambieni aache ubinafsi jamani na kuumiza mwili wake.Acha mama nina rafiki yangu ana saratani ya shingo ya kizazi stage ya kwanza halafu amegoma kutoa kizazi uwiii yaani naogopa, tumemshauri tumechoka maana hana mtoto anasema hawezi kufa bila kuzaa.
Kama haijalika mwambie aanze dozi ya majani ya mstafeli na juice ya tunda la Mkomamanga.... kama imelika sana endeleeni kumuomba atoe tu kizazi.... Nimepima hiyo saratani mwezi uliopita maana duuh imeshika kasi sana siku hizi sijui ni pedi au nini Mungu atusaidie jamani.Acha mama nina rafiki yangu ana saratani ya shingo halafu amegoma kutoa kizazi uwiii yaani naogopa, tumemshauri tumechoka maana hana mtoto anasema hawezi kufa bila kuzaa.
Huoni kuwa uwezo wa kuwaunguza wengine utakuwa mkubwa sana [emoji45][emoji45][emoji45]Siku nikikutwa na hao HIV sitakaa nikatumia ARV.