UKIMWI ni biashara, nchi za dunia ya tatu tunatumika

Umeshawahi kuwaona VVU katika vipimo??? kama VVU wapo na ukaweza kunionyesha kama unavoonyesha virusi wa magonjwa mengine naweza kuja PM
 
yani km nmemwelewa jamaa anataka awaone kbs hao virus eg wawe isolated labda ndo atakubali um inoculate
Akihitaji kufanya hivyo atafute research centres zenye advanced facilities akajionee na sio kuja kupotosha watu hapa wakati kuna watu wanateseka sana
 
yani km nmemwelewa jamaa anataka awaone kbs hao virus eg wawe isolated labda ndo atakubali um inoculate
Zipo research centres zenye advanced facilities akihitaji aende akajionee na sio kupotosha watu hapa
 
Umeshawahi kuwaona VVU katika vipimo??? kama VVU wapo na ukaweza kunionyesha kama unavoonyesha virusi wa magonjwa mengine naweza kuja PM
Mkuu zipo njia nyingi za kugundua uwepo wa VVU , unafahamu kuhusu antigen/ antibody tests, DNA PCR na nyinginezo? unapo jenga hoja technical kama hizi jaribu kutafuta kwanza information za msingi kuhusiana na kinachoongelewa
 
Mkuu Usipoteze Muda Kwa Hao Wafuasi Wa Deception ....
Anaongea Hayo Kwasababu Hayajamkuta tu. Lakini asiombe Yamkute.
 
Ni suala la muda
 
Wabongo wanajua kupanua miguu tu..
 
Mkuu zipo njia nyingi za kugundua uwepo wa VVU , unafahamu kuhusu antigen/ antibody tests, DNA PCR na nyinginezo? unapo jenga hoja technical kama hizi jaribu kutafuta kwanza information za msingi kuhusiana na kinachoongelewa

Na swali la msingi ni kuwa kwanini wapime antibodies/antigen badala ya VVU mwenyewe?
 
hii mada ukichunguza kwa umakini ina utata ndani yake uwezi kubadilisha mawazo ya mwenzako.
kila mtu anaegemea upande wake kulingana utafiti wake
 
Toa mbinu mbadala basi
 
msihangaike hii kitu mbona ina tiba na inaisha kabisa, Stem cell inawezesha kuzalisha seli nyingi za kinga na kumaliza UKIMWI ndani ya wiki 2-3
Kaka Nina mjombangu anapata taabu sana naomba tuongee vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…