UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

Hapo kwenye kitimoto nahisi umesema sababu imani yako hairuhusu kutumia.

Nenda vijijini mbeya, kilimanjaro etc.. kitimoto imeliwa miaka zaid 1000 iliyopita...ila bado kuna mababu na mabibi kibao hawajui hata kansa ni kitu gani,? Hata uko majuu kitimoto wanaiita pork ni nyama pendwa ya wazungu

Madaktari bingwa kibao wa magonjwa ya moyo wanaagizaga kitimoto.. wengine wanalipia boda iletwe mpaka kazini kwao muhimbili kama wakiwa zamu ili wajinome
Aliposema kitimoto na bia tu akanikera
 
Vitu kama sex na pombe ni maisha binfasi ya mtu ilimradi havifanywi muda wa Kazi alafu kwenye kitimoto ndo umebugi kabisa Unajua jinsi gani wanakula huyo mdudu
Huyo mleta uzi ni either mshamba sana au ameshika sana dini
 
Mada za mihemko bwana, we kula ulale bwana, kwani hii dunia ni ya nani?? Mpaka uanze kuwaonea watu huruma na ukimwi, au nguruwe,?? Kausha fanya maisha yako uzeeke na utakufa acha umbea
Kwahiyo wewe hujali taifa la kesho? Taifa watakalorithi watoto wako?

Hujali kuhusu maendeleo na ustawi wa taifa lako?

Hujali kuhusu nchi yako kuwa na mifumo bora ya elimu, afya, mipango miji, miundo mbinu na usimamizi na utekelezaji bora wa utawala wa sheria?

Hujali kuhusu taifa lako na wananchi wake kufikia na kupita potential yake?

Remember, you're not an individual, you're part of a community, a tribe and a nation. Their overall wellbeing is yours as well.
 
Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them. Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri nyingi ni wezi but hali ni worse kwenye public institutions. Unfortunately your CAG doesnt audit all of them as he does kwa halmashauri. Let me give you a tip. CAG officers pia wanahongwa na hizi public institutions. CIAs wanawaogopa CEOs. The problem starts here. If you appoint a CEO today, give him/her a year. You're likely to produce a billionaire. A public institution is very sweet. Whether it's ngorongoro or university of Dar or IFM. Start there and you will be suprised. Hii ni mada ya siku nyingine. Today, I am suggesting something else.

1. Kuna possibility kubwa ukimwi Tanzania umejaa. Sisi tulio ndani ya ndoa I think it's no longer a secret. Husbands don't care. They compete on the number of sidechicks. Wives have become "civilized harlots". I repeat, ni ndoa chache ambazo kuna uaminifu. Secondary kids and university community members understand this. Most of them are positive. They sleep with husbands. Makazini na biashara sex has become a "public good". If you talk to doctors, wagonjwa ambao hawajaanza dawa na walioanza dawa ni wengi sana. People don't care. We don't at all. Kwahiyo tunatembea na ukimwi kwenye miili yetu. Siyo sheikh wala pastor wala bishop aliye salama. I don't want to talk about politicians. They are in bad conditions. Covid imetuamsha. Wagonjwa wengi wa ukimwi wameondoka. Wengi wataondoka ghalfa kwa sababu ya dawa zinaficha mengi. I thought kijijini hawana ukimwi. Lo!wanakufa sana. Tusipokuwa makini taifa letu litakosa viongozi was Leo na kesho ambao ni smart. This is a future threat on our national security.
2. Pombe inanyweka sana. Our baby brothers and sisters who spend their lives in liquor are in danger of ruining their future. Husbands have misdirected our families. Pombe inaingiza tax revenues but is a source of underlying health conditions ambazo slowly they kill our briliiant leaders bila kujua. Wataisha kwa magonjwa. Where shall we get smart leaders? Sadly, smart politicians afya zao wengi zimeharibiwa na alcohol. They are dying. Youth are perishing.

3. Kitimoto. Talk to doctors na watakueleza kuwa cancer na magonjwa ya moyo mengi yanakuwa driven na hiki kitu. Mwenzi wangu hatumii pombe wala kitimoto. Probably atasogeza siku na kupunguza magonjwa. Smart people wakiisha, we will be led by an automatic option. Hii ni threat to our future.

4. Urbanization. So far ule uzalishaji wa kijijiji haupo tena. Young boys have moved to town kwenye bodaboda. Miundombinu are in bad shape. We don't produce. We are in town to sell industrial juice na kubet. This is a timed bomb for our national security. We need to bring them back to village through friendly environment.
 
3. Kitimoto. Talk to doctors na watakueleza kuwa cancer na magonjwa ya moyo mengi yanakuwa driven na hiki kitu. Mwenzi wangu hatumii pombe wala kitimoto. Probably atasogeza siku na kupunguza magonjwa. Smart people wakiisha, we will be led by an automatic option. Hii ni threat to our future.
Hapa umekosea sana kupagusa, na kwa niaba ya club ya walaji mdudu nakutaka uombe radhi
 
Hayo ni mambo binafsi, kuruhus serikali kuingilia mambo binafsi is as dangerous as opening the Pandora box if you will.
 
Mkuu tuliozaliwa vijijini tunajua hali halisi kwa sasa. Vijana hawataki kufanya kazi za shamba kabisa, wengi wanajifanya kuishi ki-mjini wakati mifukoni panasoma zero. Wengi wamekenyela kwa kubwia pombe,sigara,ugoro.

Kiufupi hali zao ni mbaya sana.


Unforgetable
Kwahiyo suruhisho ni nini babu?
 
Hayo ni mambo binafsi, kuruhus serikali kuingilia mambo binafsi is as dangerous as opening the Pandora box if you will.
Mleta mada atakuwa mwenye dini kali jambo ambalo kwa hapa Tanganyika ni geni sana.
 
Ukimwi is no longer a threat unapotosha sana, magonjwa Kama kansa, moyo, na kisukari ni threat kubwa

Ukimwi mtu akitii masharti ya kunywa dawa kila siku anaishi Kama mtu wa kawaida

Urbanization is not a threat but massive opportunity ya kuongeza wealth japokua inachangamoto yake
 
Back
Top Bottom