UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

Aliposema kitimoto na bia tu akanikera
 
Mtoa mada utakuwa msabato sio bure acha kutisha watu fanya yako
 
Vitu kama sex na pombe ni maisha binfasi ya mtu ilimradi havifanywi muda wa Kazi alafu kwenye kitimoto ndo umebugi kabisa Unajua jinsi gani wanakula huyo mdudu
Huyo mleta uzi ni either mshamba sana au ameshika sana dini
 
Mada za mihemko bwana, we kula ulale bwana, kwani hii dunia ni ya nani?? Mpaka uanze kuwaonea watu huruma na ukimwi, au nguruwe,?? Kausha fanya maisha yako uzeeke na utakufa acha umbea
Kwahiyo wewe hujali taifa la kesho? Taifa watakalorithi watoto wako?

Hujali kuhusu maendeleo na ustawi wa taifa lako?

Hujali kuhusu nchi yako kuwa na mifumo bora ya elimu, afya, mipango miji, miundo mbinu na usimamizi na utekelezaji bora wa utawala wa sheria?

Hujali kuhusu taifa lako na wananchi wake kufikia na kupita potential yake?

Remember, you're not an individual, you're part of a community, a tribe and a nation. Their overall wellbeing is yours as well.
 
 
Hapa umekosea sana kupagusa, na kwa niaba ya club ya walaji mdudu nakutaka uombe radhi
 
Hayo ni mambo binafsi, kuruhus serikali kuingilia mambo binafsi is as dangerous as opening the Pandora box if you will.
 
Kwahiyo suruhisho ni nini babu?
 
Hayo ni mambo binafsi, kuruhus serikali kuingilia mambo binafsi is as dangerous as opening the Pandora box if you will.
Mleta mada atakuwa mwenye dini kali jambo ambalo kwa hapa Tanganyika ni geni sana.
 
Ukimwi is no longer a threat unapotosha sana, magonjwa Kama kansa, moyo, na kisukari ni threat kubwa

Ukimwi mtu akitii masharti ya kunywa dawa kila siku anaishi Kama mtu wa kawaida

Urbanization is not a threat but massive opportunity ya kuongeza wealth japokua inachangamoto yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…