UKIMWI, Pombe, Kitimoto na Urbanization ni Threat to National Security

Aa
Aaah hapo kwenye kitimoto umebugi maana hata Saudi Arabia kiti moto ipo!
 
Watu wanajilinda sana na Kuna Matumizi makubwa ya kondomu, na wana vipimo mpaka nyumbani vya ukimwi,

vijijin ndo Kuna Hali mbaya sababu kule ngono zembe nyingi
Kweli maana kule wakishapiga gongo zao wanadondoshana tu mashambani
 
Kitimoto hahusiki na threat yoyote to national security. Unamsingiazia tu,kwa chuki zako binafsi.
 
Kwa kuwa aina za vitoweo ziko nyingi ukiachilia mbali hiyo nguruwe, kwanini mtu uendelee kula hiyo nguruwe ambayo ina walakini?

Ni mfano wanawake wanaovaa suluari , aina za mavazi ziko nyingi ambazo hazijakatazwa na Maandiko Matakatifu, sasa kwanini mwanamke usiachane na suruali kwa kuvaa mavazi mengine mbadala ?

Au kunakuwa na nguvu nyingine iliyokinyume zidi ya Maandiko inayohimiza watu kufanya uasi?

Tutafakali.
 
 
Where ever you are Our beautiful Afrikan Youn'cestor Queen much love and respect.

Fundamentally yooote yanaanguka kwenye kitu kimoja na kimoja pekee.. kukosa Identity as a culture, as a nation and people.

Everything stems out of thinking, and this imposed culture of Pedophilia, excess spending, lies etc has been fet to us and we are blind enough not to see.

You have brought very great and valid points.. but you can not manifest a nation that you did not conceive a seed of. And a seed here has to a careful country plan with a focus of atleast 50 years..

In this we will address our areas of weakness in education, health, investment, security, environment etc.. and come with short term to long term plans and goals to make a move out of the troubled deep waters.

Focus should be on building plans around the needs of communities and availability resources.. so to help each and everyone grow from where they are with what they have. This might reduce urban rural migration.

Overall is.love your thinking.. and about diseases, this is hard one, because of the lifestyle.. we are not afraid ..not anymore. And that's scary.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ungetumia lugha moja ingekuwaje
Au tuone msomi sana
Sipendi watu wanachanganya lugha
 
Kitimoto?? Acheni ujinga nyie, kama hamkuli shauri yenu
 
Kitimoto?

Ataongeza siku yeye kama nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…