UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu

UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu

Ngoma tuu,mbna sasa hivi haina shida
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti. Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.
Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.
Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.
Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niko likizo hapa, nikitoka kwenye mishe zangu natulia tu. Au unataka ninyakue mawe ili ujue nafanya kazi. UKIMWI SIO MCHEZO. Dogo anakwisha kwa mawazo
Sasa ukileta humu ... unakua umemsaidia vipi...Ishi maisha yako ... maisha yenyewe mafupi
 
jamaa ulivyo andika kama nakuona unashangilia bila ya kujua umo kwenye mnyororo pia, kama dogo kachakaza mtaa ww uko hatarini pia kupitia mkeo ama mchepuko

unaweza kata moto ama kuugua kisukari afya ikayumba mara 2 ya dogo haya maisha haya kuwa mpole
 
ata kama! sio kwa hasira hizi, kuna uwezekano huyo dogo alimkula mke wako
embu weka na picha yako tuone mishipa ya hasira
 
Mkuu mbona kama unamkalia kitako hivi....Au alijimilikisha nafasi yako kwa mkeo nn... Kula mchanganyiko wa ndizi,karanga,mihogo,bisi,ukwaju na pilipili.... Utapiga hatua fulani...
 
Huyu mtoto nimemfahamu mwaka jana alipokuja Dar kwa mjomba wake. Anaishi Dodoma, hana pesa wala uhandsome ila ni hatari. Wiki mbili tu alizoishi hapa Dar kwa mjomba wake kawatafuna sana mabinti.

Kwa umri wake wa miaka 22 ana watoto 2 na mabinti 2 wanatazamia kujifungua watoto wake. Miezi michache alishikwa na Homa walipompima wakamkuta na ngoma, amedata sasa anaweweseka tu anasema anasubiri kifo.

Huku wengine tuna miaka 33 na tuna mtoto mmoja tu kijana wa 22 anakuwa na watoto 2 aliozaa na wanawake tofauti.

Huyu mtoto anakili aliwala majimama wengi na vibinti bila kujali umri.

Umalaya sio sifa, msicheze na Ngoma wazee
Hapo tuseme Rip mtaa mzima maana inaonekana ngoma kaipatia hapo hapo ulipo daaa maskin mtoa mada utaambia nini Mungu wewe
 
Miaka 22 umezaa na mabinti 2, umewatia mimba wengine 2. Huo sio umalaya ndugu?
Mtaani hapa alilala nao vibinti kama 4-5 within 2 weeks huo nao sio umalaya?
Vibinti vinne mbona vichache sana nilijua vibinti ishirini kama mimi enzi zangu
 
Back
Top Bottom