UKIMWI umemfyekelea mbali dogo msherati wa kutupwa wa miaka 22, sasa hana tumaini tena anasubiri kifo tu


Upo sawa kabisa kuwa umalaya ndio chanzo cha miwaya...ila usijidanganye kutulia kutakuepusha...huyo mwenzio unayajua ayoyafanya huko pembeni...nani alikudanganya kutembea na wanawake wengi ndo kupata ngoma...ukimwi unatokana na mtu kutokuwa makini...unajua wazi wewe ni malaya lakini kuvaa kinga hautaki unategemea nini????

Mungu amtie faraja kijana kuwa na ngoma siyo mwisho wa maisha...
 
Miaka 22 umezaa na mabinti 2, umewatia mimba wengine 2. Huo sio umalaya ndugu?
Mtaani hapa alilala nao vibinti kama 4-5 within 2 weeks huo nao sio umalaya?
Huyo ana maambukizi tu na ana weza kubadilika akawa mtu mwema sana.
Wanakufa watu kwa magonjwa mbalimbali,ajali nk,wanawaacha wenye UKIMWI duniani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimtenge wala kumdhihaki wala kumcheka bali mpe faraja ,kesho yetu bado ni mbali na yenye safari ya kizani .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…