UKIMWI una Dawa?

UKIMWI una Dawa?

niliwaomba mods wauweke ule uzi wa [HASHTAG]#deception[/HASHTAG] sticky,naona hawataki au wanataka tuendelee kufa?
 
Makuru si hata ww unaweza kuongeza maarifa ukashusha nondo hapa. Nenda youtube kuna documuntaries za wataalam mabingwa wanaelezea mchezo mzima ulivyofanywa na akina Robrt Gallo
 
Back
Top Bottom