Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kujua hivi mtu mwasilika ni kweli akimeza baadhi ya dawa kama piritoni akipima HIV kwa mda huo huwa inasoma negative?
Pole brotherNaomba kujua hivi mtu mwasilika ni kweli akimeza baadhi ya dawa kama piritoni akipima HIV kwa mda huo huwa inasoma negative?
Dah mkuu huo uandishi wako aiseee ni lazima udanganywe hivyoNaomba kujua hivi mtu mwasilika ni kweli akimeza baadhi ya dawa kama piritoni akipima HIV kwa mda huo huwa inasoma negative?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa unaweza kuta mtu chaliNimekuja mbio humu nikidhani kuna jambo zitu kumbe ni hearsay.
Siku nyingine mtatuua bure maana tuna stress za pension plus kodi tena na nyie mtupe stress humu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabisa unaweza kuta mtu chali