Ukimya katika ukusanyaji wa fedha kupitia tozo

Ukimya katika ukusanyaji wa fedha kupitia tozo

Nsennah

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2021
Posts
1,947
Reaction score
1,554
Habarini ndugu watanzania wenzangu. Moja kwa moja niende kwenye mada yangu, kumekuwa na ukimya juu ya makusanyo ya tozo kwenye miamala ya fedha kwa njia ya simu tofauti na hapo awali tulipotangaziwa jumla ya makusanyo yake.

Nini kimebadilisha hadi kuwa na ukimya (usiri) huo na ilihali tuliambiwa zitashughulika na ujenzi wa madarasa lakini mikopo ndiyo iliyofanya kazi hiyo.

Naona ukweli kwenye watanganyika kuitwa wadanganyika maana ni kama tumewekwa giza ilihali tunaaminishwa sasa hivi ni serikali yenye uwazi.

To be honest pesa hiyo inaumiza sana, bora ukope huku unanitaarifu pesa yangu ya tozo yenyewe imeenda sehemu fulani.

Nawasilisha
 
Muchuzi unatiririkia kunako bakuli tartiiibu, kwani hujui Kwa kawaida ukiwa unakula kelele mwiko🤸.
 
Back
Top Bottom