Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
CCM tunayoifahamu ilikufa lilipoingia genge la kina Bashiru na Polepole.Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi Rushwa, siasa za nchi rushwa, Miradi rushwa, uongoz rushwa etc
Soon dhambi ya upigaji itapelekwa kanisani
Watu wenye uadilifu hawatakiwi... wao hupewa vitengo ambavyo havina nguvu kwao kufanya maamuzi.Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi Rushwa, siasa za nchi rushwa, Miradi rushwa, uongoz rushwa etc
Soon dhambi ya upigaji itapelekwa kanisani
Nimatokea ya kuongoza kwa matamko na 'double standard'Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi Rushwa, siasa za nchi rushwa, Miradi rushwa, uongoz rushwa etc
Soon dhambi ya upigaji itapelekwa kanisani
Yalianzia hapa ! Mambo ya ushindi wa kishindo haya kura za hadi kwenye mabegiView attachment 1738202
kumbe magufuli naye ni fisadi