Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,148
CCM ni vimburu kama vikburu wengine hata mimi ni CCM ila kuanzia awamu ya TANO nimegundua tunahitajika tuwe benchi ili tuweze kujitafakari zaidi.Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi Rushwa, siasa za nchi rushwa, Miradi rushwa, uongoz rushwa etc
Soon dhambi ya upigaji itapelekwa kanisani