CCM ni vimburu kama vikburu wengine hata mimi ni CCM ila kuanzia awamu ya TANO nimegundua tunahitajika tuwe benchi ili tuweze kujitafakari zaidi.Hizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi Rushwa, siasa za nchi rushwa, Miradi rushwa, uongoz rushwa etc
Soon dhambi ya upigaji itapelekwa kanisani
nae ni mwizi tukumbe magufuli naye ni fisadi
Yaani huyu jamaa yataibuka mengiMagufuli alikuwa na sifa zote mbaya za kiongozi wa kiafrica
waliwekana kama njugu naoo khaaaa sasa yatawakuta mambo hao jamaaHizi siku tatu nimeshtuka kwamba tulikuwa tunaibiwa na watu wale wale tulioaminishwa niwazalendo.
Chama Cha mapinduzi lini mtatuondolea wezi Hawa kwenye mfumo? Nadhani ccm imekomaa na usajili wao umejikiti kwa wwnamtando zaidi ya uadilifu kuliko kurecrutit watu wenye uchungu na nchi.
Uchaguzi Rushwa, siasa za nchi rushwa, Miradi rushwa, uongoz rushwa etc
Soon dhambi ya upigaji itapelekwa kanisani
naogopa lakini nacheka ...hahahahahanae ni mwizi tu
Amepost wapi tuifuate!BAK
Dah mkuu kuna ule umepost barua ya b.o.t,je inahusu nini?
Ndugai upo??Wizi wa kura za uchaguzi mkuu uliopita hiyo ni ishara tosha kwamba CCM ni wezi katika mambo mengine pia.
Wanaomjua wanasema alipiga sana hata kwenye uuzaji wa nyumba za serikali enzi akiwa waziri! Jamaa alikuwa fisadi aliyejificha kwenye kivuli cha uzalendo! Nasema uwongo ndugu zangu?kumbe magufuli naye ni fisadi
Ndugai upo??
Wewe una kufa lini ili tupate Bunge huru?
Hivi Makamu Rais anapatikana lini? Yaani inatisha.