Ukimya wa Diamond Platnumz juu ya yanayoendelea unamaana gani?

kwetukijijini

Member
Joined
May 20, 2018
Posts
37
Reaction score
26
Licha ya kutokuwanayo simu ya kupangusa kama wenzangu wa 'mujini' bado sijabaki nyuma kuhusu updates za kila muda zinazoendelea kudrop ulimwenguni, ahsante teknolojia kwa ufea wako utofauti upo tu kwenye kuyakliki mavidio kwangu ndo yanagoma.

Video ya Iyena imeibua mengi sana huku wapo wanaotazama kama suala la Zari na Platnumz lilikuwa kama suala la biashara tu na hakukuwa utofauti wowote baina yao na hata mimi najipenyeza katika fikra za kundi hlo.

Kama ni ivyo Platnumz anaroho ngumu kwa kiwango hicho maana amemlaghai vya kutosha Bi Hamisa mpaka kwenye vyombo vya habari na hatimaye kuzaa tumaini jipya kuwa mimi ndiye Mrs Simba kwani Bi Zari alikuwa Ughaibuni akiendelea kubwabwaja kwenye akaunti zenu za mujini kutamu mnaziita na kudiriki kumwita mumewe bazaz mkubwa loooh!

Kumbe ni busness, mtoto wa watu simba anaendelea kukwarua kwangwaru huku akilamba lips denda na hatimaye mama simba anamtusi huku tukiendelea kusubiri tamko mwisho project mliyoitengeneza inaletwa anamwagiwa matusi mengine na ndugu zako wewe upo tu.
 
Wakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.

Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.

Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
 
Tulizen vichwa mtaelewa tu, tatizo mnasoma kwa papara za kuhofia MB zenu kuisha achen ubahir. Iyena at work
 
Wambea wengi huwa hawana shule kichwani, uandishi na udaku wako ni dhahiri huna shule kichwani kazi umbea umbea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…