Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
hahahahaWakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.
Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.
Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
Usije kuta aliyepost ni James Delicious maana hakuna mtu anayetumia jina halisi hapaKwa uandishi huu hata hufai kua mmbeya.
Atakayemwelewa mtoa mada..pulizi anitag
Ndugu unyajua maboga kweli wewe?Wakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.
Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.
Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
Pole ndugu, kingereza kwetu mtihani. Mtaani kwetu ukisema: "Nina shughulikia maboga" basi tutajua wewe unahusika na mambo ya chura.I have got you though, it seems like you don't know the meaning of excuse.
Coming to the issue of the use of punctuation marks (, . ? ! : ; " '......) I know and I understand its uses but because of what i stated on my excuse writing is what made that haverzad to happen.
i have seen your satire pictures
Hv hakunaga umbea ambao ni professionally,naona umbea siku zote unafanywa na watu wa class ya chini .....Wambea wengi huwa hawana shule kichwani, uandishi na udaku wako ni dhahiri huna shule kichwani kazi umbea umbea
Wakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.
Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.
Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
Kweli Imekuja na MeliI have got you , though, it seems like you don't know the meaning of excuse.