Ukimya wa Diamond Platnumz juu ya yanayoendelea unamaana gani?

Wakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.

Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.

Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
hahahaha
Mkuu usijali hii ndio jf yani sio kwamba wanao kukosoa huwa hawakosei....
Nimekuelewa....ukipost we kaa kimya....jf ni pagumu sana kama ukianza kufatilia kila kinacho andikwa.....
 
Wakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.

Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.

Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
Ndugu unyajua maboga kweli wewe?
Haya hapa maboga
img-20150328-wa0041-jpg.459341

Maboga mawili

a73a1-butt.jpeg

Sasa mwenzetu unsema unakimbizana kuwahi maboga, Je, unatumia Vodacom Fasta au Tigo?

Vilevile jaribu kujua matumizi ya (,)( ; ) (.)(!)(?)
 
I have got you though, it seems like you don't know the meaning of excuse.

Coming to the issue of the use of punctuation marks (, . ? ! : ; " '......) I know and I understand its uses but because of what i stated on my excuse writing is what made that haverzad to happen.

i have seen your satire pictures
 
Pole ndugu, kingereza kwetu mtihani. Mtaani kwetu ukisema: "Nina shughulikia maboga" basi tutajua wewe unahusika na mambo ya chura.
Chura1.jpg

Chura5.jpg

Hayo hapo maboga rafiki.
 
Umbea ukiandikwa na msukuma haunogi
 
Wambea wengi huwa hawana shule kichwani, uandishi na udaku wako ni dhahiri huna shule kichwani kazi umbea umbea
Hv hakunaga umbea ambao ni professionally,naona umbea siku zote unafanywa na watu wa class ya chini .....
 
Wakuu Kijijini Kweli ni shida na nilijua uzi upo sawa; nimeupitia imebidi mimi mwenyewe nicheke tu na hasa komenti zenu.

Familia zetu za kijijini unakuta idadi ni kama shule sasa wakati naandika huu uzi nikaambiwa maboga tayari ile kukumbizana kuwahi maboga nikajikuta nimeutuma pasipo kuediti.

Nakiri kusamehewa jamani Nilikuwa nawazo jema tu
IMG_20180603_175452_589.jpg
 
Hamisa hebu tulia uandike vitu vyenye kueleweka hahahaha
 
Wewe hujiulizi kwanini kiki zake hutoka baada ya kuachia wimbo mpya? pia hushangai familia nzima kila mtu ana Instagram hadi kina Tiffah wa miaka sijui 2?! kwahyo ni business as usual..ukiwafatilia una poteza muda wako
 
I have got you , though, it seems like you don't know the meaning of excuse.

Coming to the issue of the use of punctuation marks (, . ? ! : ; " '......) I know and I understand its uses but because of what i stated on my excuse writing is what made that haverzad to happen.

i have seen your satire pictures
Kweli Imekuja na Meli
 
Back
Top Bottom