a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
Mimi ni MKKKT wa kuzaliwa wazazi wangu wote ni wa KKKT ,nimekuwa mwanachama na kiongozi wa UKWATA nikiwa shule ya msingi sekondari ,advanced sec school na chuo ,hata sasa pia ni kiongozi wa jumuiya za wana KKKT wa mtaani kwangu.
Leo katika jumuiya tulikuwa na somo linalohusu RUSHWA NI ADUI WA HAKI...Rushwa ina nunua haki za wanyonge,rushwa inapindisha sheria,
Na kwamba HAKI HUINUA TAIFA.
Pia tumejifunza uadilifu kukataa kupokea na kutoa rushwa pia tuchague viongozi waadilifu watakao simamia haki na kupinga vitendo vya rushwa na kukemea maovu.
Huwezi kutenganisha DINI na siasa ,waumini wa dini washiriki katika kuchagua viongozi na kugombea nafasi mbalimbali kwa haki bila rushwa na wapatikane viongozi watakao kuwa waadilifu waliochaguliwa kwa haki bila rushwa na watakaokemea UKIUKWAJI WA HAKI,watakaokemea MAOVU.
KUHUSU MWENENDO WA MAKANISA YA KKKT KUANZIA VIONGOZI WAKE MAASKOFU WAKUU NA VIONGOZI WAKUU,KUNA UKIMYA USIO WA KAWAIDA ,HAKUNA TAMKO LOLOTE LA KUKEMEA NA KUONYA DHIDI YA MAOVU??
Viongozi wa dini wana wajibu wa kukemea ukiukwaji wa haki,wana wajibu wa kuonya maovu lakini hawa wana KKKT mbona siwaelewi.??
Pia viongozi inabidi wachaguliwe kwa haki sio kwa rushwa na waumini wachague viongozi waadilifu watakaosimamia MISINGI YA HAKI!!
MUASISI WETU ...MARTINI LUTHER KING alikuwa mstari wa mbele katika kukemea UKIUKWAJI WA HAKI mbona leo viongozi wetu wamekuwa MABUBU??SHIDA NI NINI?huu UBUBU unasababishwa na nini?
UCHAWA kwanini viongozi wetu wanajipendekeza kwa wanasiasa ,na kuruhusu makanisa yetu ya KKKT yatumiwe na wanasiasa kujisafisha ,uchawa unapitiliza mpaka huwa nashangaa akiwepo muumini mwenye uwezo wa kifedha kanisani au mwenye cheo cha kisiasa mfano mbunge au waziri..anavyotetemekewa mpaka anaitwa MGENI RASMI ...kanisani anayestahili heshima ya pekee ni YESU PEKEE na waumini wengine wote ni sawa hutakiwi kuwajali na kuwaheshima baadhi wenye fedha na vyeo kuliko wengine.
Na kuwapigia makofi na kuwaambia kuwa wao ni wa muhimu ,yani unakuta mchingaji anasema leo tuna mtu muhimu wa heshima humu kabisani MUHESHIMIWA....ALLOH..KANISANI muheshimiwa NI YESU PEKEE wengine wote sisi ni sawa hakuna muumini bora zaidi ya mwingine.
Na hata sadaka wanazotoa matajiri na masikini mbele ya Mungu zote zina uzito sawa ,mana tajiri amebarikiwa vingi sana anachotoa ni sehemu ndogo ya vingi alivyonavyo..,na masikini mjane hana vingi dinari mbili pekee alizobakiwa nazo anapotoabanakuwa ametoa zaidi ya nusu ya aliyonavyo.
Naona wenzetu RC wenzetu wanakemea maovu na kipindi cha askofu SHOO kidogo KKKT ilikuwa na nuru,lakini sasa hivi viongozi wetu siwaelewi ?nafikiri kuna shida hapo ghorofani...hapo juu kuna shida???