Rosh Hashannah
JF-Expert Member
- Sep 13, 2017
- 3,415
- 2,043
We jamaa acha kutulisha mapapai mabiji hapaTatizo msanii akikaa kimya expectations za mashabiki zinakuwa kubwa sasa akitoa wimbo wa kawaida anakuwa kajipiga risasi ya kichwa
Hapana mkuu ninaongea tuu.We jamaa acha kutulisha mapapai mabiji hapa
Unajua kweli maana ya kujipipa risas ya kichwa au unaongea tu hapa
Usiwe unaonge ongea vitu usivyojua mkuuHapana mkuu ninaongea tuu.
Hebu nieleweshe maana wewe unajua mengi mpaka usafiri wa fisi
Kweli aisee mkuu halafu nimekuona kwenye list ya wahenga walioa wazungu vikongweUsiwe unaonge ongea vitu usivyojua mkuu
Unajua wewe ni mtoto mdogo sana hata kwenye kiganja hujai
Kujipiga riasi ya kichwa ni sawa na kujiua mwenyewe...ndicho alichomaanisha.We jamaa acha kutulisha mapapai mabiji hapa
Unajua kweli maana ya kujipipa risas ya kichwa au unaongea tu hapa
Duh poa bhana vp dk shika ashalipwa hela yakeKweli aisee mkuu halafu nimekuona kwenye list ya wahenga walioa wazungu vikongwe
Ndiyo niko naye hapa tunahamisha ile bils 3 kwenda kahama alikotoa ahadi.Duh poa bhana vp dk shika ashalipwa hela yake
Maana za chin ya capet zinasema et wewe ndo mpambe wake mkuu
Kwa nnAisee maromboso kaisha
Yeahila jamaa anajua knmaaaa
Una umri gani mkuu? Hebu tukumbushe sindelela ya Ali kiba ili tamba mwaka gani? Mimi nakumbuka nenda kamwambie ya diamond, ilitamba 2010.Kama hana bifu na Diamond hawezi kutoka kimuziki, au amuoni mwenzake Ali Kiba?
Una umri gani mkuu? Hebu tukumbushe sindelela ya Ali kiba ili tamba mwaka gani? Mimi nakumbuka nenda kamwambie ya diamond, ilitamba 2010.