Ukimya wa Maromboso kuna jambo

Ukimya wa Maromboso kuna jambo

Rosh Hashannah

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
3,415
Reaction score
2,043
Mmoja kati ya vijana wa yamoto band (mkubwa na wanawe) Maromboso yupo kimya sana tofauti na wenzake kama Aslay, Beka flavour, Enock wote wametoa nyimbo as solo artist. Lakini bado maromboso.

Maromboso (Mbosokhan) ameaminiwa na wasanii wengi wakubwa akashirikishwa na Chegge na wengne.

Lini atatoa nyimbo yake?
Na lini atatambulishwa wcb wasafi?
Anavuta attention lakini asitoe nyimbo mbaya.

Nasubiria kazi yake sana
 
Atatoa tu mkuu unajua mziki siyo kazi ndogo mkuu

Kupangilia misitar had inyoke na uingize sound sii kaz ndogo kiongoz

Mpe muda
 
Tatizo msanii akikaa kimya expectations za mashabiki zinakuwa kubwa sasa akitoa wimbo wa kawaida anakuwa kajipiga risasi ya kichwa
We jamaa acha kutulisha mapapai mabiji hapa

Unajua kweli maana ya kujipipa risas ya kichwa au unaongea tu hapa
 
Duh poa bhana vp dk shika ashalipwa hela yake

Maana za chin ya capet zinasema et wewe ndo mpambe wake mkuu
Ndiyo niko naye hapa tunahamisha ile bils 3 kwenda kahama alikotoa ahadi.
Pia kesho tunasafiri kwenye lipia ile bombardier waliyokamata kule canada amejitolea kulipa deni la serikali.
Wewe meneja wako hamisa mimi meneja wake dr shika..
 
Dogo yupo chini ya Lebo ya WCB now last time nilimsikia bwana Nasibu Abdul anasema wanasubiri kumtambulisha rasmi dogo.
 
Mkuu Dimond kishaiba nyota yake hawezi kusikika tena
 
Kama hana bifu na Diamond hawezi kutoka kimuziki, au amuoni mwenzake Ali Kiba?
 
Kama hana bifu na Diamond hawezi kutoka kimuziki, au amuoni mwenzake Ali Kiba?
Una umri gani mkuu? Hebu tukumbushe sindelela ya Ali kiba ili tamba mwaka gani? Mimi nakumbuka nenda kamwambie ya diamond, ilitamba 2010.
 
Una umri gani mkuu? Hebu tukumbushe sindelela ya Ali kiba ili tamba mwaka gani? Mimi nakumbuka nenda kamwambie ya diamond, ilitamba 2010.


Mkuu hata Man Dog alitamba na Latifa mwaka 2005, lakini ukweli usiopingika kwa Ali Kiba kabaki relevant mpaka leo ni sababu ya bifu na Diamond. Kama hutaki hakuna mtu aliyekulazimisha.
 
Back
Top Bottom