Ukimya wa mashabiki wa Yanga

Ukimya wa mashabiki wa Yanga

maramojatu

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2012
Posts
1,749
Reaction score
2,319
Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini?
Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na timu kutoka nje
 
Moderator naomba unihamishie huu uzi kupeleka jukwaa stahili
 
Msimamo wa kundi .....Simba mnaongoza
1676748273017.jpg
 
Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini?
Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na timu kutoka nje
😅😅😅 Mwenzio akinyolewa zako zitie grisi ziwe laini kwa kupalazwa,wanalipa leo kilio Cha mbwa koko shubakenge
 
Back
Top Bottom