maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 1,749
- 2,319
ππMsimamo wa kundi .....Simba mnaongozaView attachment 2522662
KigwangallaUnadhani Yanga Ina mashabiki maandazi kama makolo
π π π Mwenzio akinyolewa zako zitie grisi ziwe laini kwa kupalazwa,wanalipa leo kilio Cha mbwa koko shubakengeYanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini?
Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na timu kutoka nje
Yanga naona mmefurahi sana! Lakini mbona mna wasiwasi?Msimamo wa kundi .....Simba mnaongozaView attachment 2522662