Ukimya wa serikali maana yake nini?

KWIBANKU

Member
Joined
May 5, 2014
Posts
35
Reaction score
3
Mbona vyuo vikuu tumesahaulika hivyo ? Kuna thamani gani ya elimu ya chuo kikuu hapa Tanzania kama tunakuwa watu wa kukopa kopa, namaanisha ni mwezi mmoja sasa umekatika hatujapewa pesa ya field! Viongozi wa selikali waziri wa elimu kulikon mbona kimya kimezid? Mtatuua
 
serikali haina hela mkuu wafanyakazi wenyewe hawajapata mshahara
 
Serikali hii ni sikivu sana, imeshakusikia ndgu.
 
Zamani vyuo vikuu vilikuwa ni vichwa Mwl Nyerere akitaka kupitisha kitu fulani lazima awahi vyuo vikuu. Siku hizi na BRN yenu hakuna tunachopata kutoka vyuoni in terms of ushauri kuhusu nchi yetu! Nyie vijana hii nchi ni yenu lazima mshiriki kuiendeleza kiuchumi na kiitikadi n.k. Hata mnachodai hampati kwa sababu wahusika hawaoni mchango wenu kwa jamii! Tutumie akili zetu kuboresha maisha ya wananchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…