Ukimya wa UVCCM kwenye mkataba wa Bandari ni uzalendo au kulinda maslahi?

Hawaelewi hadi sasa ili la bandari, maana imesimama hii wakiinuka tuu wanaigusa, wakiinama inapenya yote.
 
Wao wameshauriwa wawatetee viongozi. Kuna namna nyingin ya kufanya utetezi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…