Ukimya wa Viongozi wa Yanga unaumiza wengi

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Yes Yanga imeamua kutoka kwenye uswahili na kwenda kwenye ukisasa zaidi, umeshawahi ona wenzetu wenye mpira wao viongozi wanapigiana kelele na wachambuzi uchwara jibu ni hapana.

Yanga ndiyo inakwenda huko, pamoja na kelele nyingi mashambulizi kutoka kwa mashabiki wa Simba, wachambuzi njaa, yanga walioasi...nk Viongozi wameamua kutulia tuli na kufanya mipango yao kimkakati zaidi tofauti na Simba waliozoea kudanganywa, sio ajabu waliletewa Manzoki kama meneja kampeni na kuishia kutoa kashfa kwa Yanga na mashabiki kuishia kupiga naye picha na kumshangilia kama ndio keshamwaga wino.

Viongozi wa Yanga wamewaachia wachambuzi fyongo na vyombo vya habari viseme na kujijibu vyenyewe jana nimeondoka Gazeti moja kubwa tu Linaandika Yanga wamkosa Pitso sijui kama kuna kiongozi yeyote wa Yanga alishawahi toa tamko kwamba wana malengo na Mosimane japo kuwa ni kocha mkubwa Afrika.

Ukitaka kuuza, ukitaka umaarufu kwa sasa iseme Yanga vibaya ni ukweli usiopingika Sio Simba wala Azam habari zao kwa sasa hazina soko kwani zote zimemaliza ligi bila hata kikombe cha kunywea maji au hata medali za bati.

Hongereni sana viongozi wa Yanga.
 
Yes Yanga imeamua kutoka kwenye uswahili na kwenda kwenye ukisasa zaidi,umeshawahi ona wenzetu wenye mpira wao viongozi wanapigiana kelele na wachambuzi uchwara jibu ni hapana.

Yanga ndio inakwenda huko, pamoja na kelele nyingi mashambulizi kutoka kwa mashabiki wa Simba, wachambuzi njaa, yanga walioasi...nk Viongozi wameamua kutulia tuli na kufanya mipango yao kimkakati zaidi tofauti na Simba waliozoea kudanganywa, sio ajabu waliletewa Manzoki kama meneja kampeni na kuishia kutoa kashfa kwa Yanga na mashabiki kuishia kupiga naye picha na kumshangilia kama ndio keshamwaga wino.

Viongozi wa Yanga wamewaachia wachambuzi fyongo na vyombo vya habari viseme na kujijibu vyenyewe jana nimeondoka Gazeti moja kubwa tu Linaandika Yanga wamkosa Pitso sijui kama kuna kiongozi yeyote wa Yanga alishawahi toa tamko kwamba wana malengo na Mosimane japo kuwa ni kocha mkubwa Afrika.

Ukitaka kuuza, ukitaka umaarufu kwa sasa iseme Yanga vibaya ni ukweli usiopingika Sio Simba wala Azam habari zao kwa sasa hazina soko kwani zote zimemaliza ligi bila hata kikombe cha kunywea maji au hata medali za bati.

Hongereni sana viongozi wa Yanga.
Hivi umeshaona popote kiongozi yoyote wa Simba analalamikia hao wachambuzi uchwara kama wale wa wasafi FM? Wanaikandia Simba bila hata aibu lakini viongozi wa Simba hawahangaiki nao kwani wanajitafutia rizki zao. Huyo zeru zeru wenu sasa 24/7 anachambana na maandishi na wachambuzi hadi aibu.
 
Yes Yanga imeamua kutoka kwenye uswahili na kwenda kwenye ukisasa zaidi, umeshawahi ona wenzetu wenye mpira wao viongozi wanapigiana kelele na wachambuzi uchwara jibu ni hapana.

Yanga ndiyo inakwenda huko, pamoja na kelele nyingi mashambulizi kutoka kwa mashabiki wa Simba, wachambuzi njaa, yanga walioasi...nk Viongozi wameamua kutulia tuli na kufanya mipango yao kimkakati zaidi tofauti na Simba waliozoea kudanganywa, sio ajabu waliletewa Manzoki kama meneja kampeni na kuishia kutoa kashfa kwa Yanga na mashabiki kuishia kupiga naye picha na kumshangilia kama ndio keshamwaga wino.

Viongozi wa Yanga wamewaachia wachambuzi fyongo na vyombo vya habari viseme na kujijibu vyenyewe jana nimeondoka Gazeti moja kubwa tu Linaandika Yanga wamkosa Pitso sijui kama kuna kiongozi yeyote wa Yanga alishawahi toa tamko kwamba wana malengo na Mosimane japo kuwa ni kocha mkubwa Afrika.

Ukitaka kuuza, ukitaka umaarufu kwa sasa iseme Yanga vibaya ni ukweli usiopingika Sio Simba wala Azam habari zao kwa sasa hazina soko kwani zote zimemaliza ligi bila hata kikombe cha kunywea maji au hata medali za bati.

Hongereni sana viongozi wa Yanga.
Na wataangaika sana, wanajaribu kuchokonoa kujua nini kinaendelea lakini wamekuwa wanatoka patupu, wanapata taarifa zisizo sahihi wanabaki kujiuliza na kujijibu wenyewe!
 
Unajitoa ufahamu?nani alianzisha habari za pitso mosimane kama sio yanga wenyewe kupitia kwa ali kamwe na akaipandisho kwenye youtube akaunti ya club!au hujui kazi ya media officer.
 
Wamejaa kimya wakiwaza pesa za kumlipa yule aliyekuwa kocha wenu, ingawa pesa zipo lakini wanaona Bora wafungiwe ili wapate sababu ya kuwaeleza mashabiki kwanini waliporomoka
 
Yes Yanga imeamua kutoka kwenye uswahili na kwenda kwenye ukisasa zaidi, umeshawahi ona wenzetu wenye mpira wao viongozi wanapigiana kelele na wachambuzi uchwara jibu ni hapana.

Yanga ndiyo inakwenda huko, pamoja na kelele nyingi mashambulizi kutoka kwa mashabiki wa Simba, wachambuzi njaa, yanga walioasi...nk Viongozi wameamua kutulia tuli na kufanya mipango yao kimkakati zaidi tofauti na Simba waliozoea kudanganywa, sio ajabu waliletewa Manzoki kama meneja kampeni na kuishia kutoa kashfa kwa Yanga na mashabiki kuishia kupiga naye picha na kumshangilia kama ndio keshamwaga wino.

Viongozi wa Yanga wamewaachia wachambuzi fyongo na vyombo vya habari viseme na kujijibu vyenyewe jana nimeondoka Gazeti moja kubwa tu Linaandika Yanga wamkosa Pitso sijui kama kuna kiongozi yeyote wa Yanga alishawahi toa tamko kwamba wana malengo na Mosimane japo kuwa ni kocha mkubwa Afrika.

Ukitaka kuuza, ukitaka umaarufu kwa sasa iseme Yanga vibaya ni ukweli usiopingika Sio Simba wala Azam habari zao kwa sasa hazina soko kwani zote zimemaliza ligi bila hata kikombe cha kunywea maji au hata medali za bati.

Hongereni sana viongozi wa Yanga.
Kwa Wachambuzi gani waliopo nchi hii Hadi Mtu mwenye akili aanze kujibizana nao?
 
Mashabiki wa simba ndiyo wanahaha kufuatilia habari za Yanga, kuliko wale mashabiki wa timu husika. Hakika jambo hili linashangaza na kustaajabisha sana.
 
Hivi umeshaona popote kiongozi yoyote wa Simba analalamikia hao wachambuzi uchwara kama wale wa wasafi FM? Wanaikandia Simba bila hata aibu lakini viongozi wa Simba hawahangaiki nao kwani wanajitafutia rizki zao. Huyo zeru zeru wenu sasa 24/7 anachambana na maandishi na wachambuzi hadi aibu.
SAGAI unahalalisha waandishi kudhalikisha watu kisa wanatafuta riziki? Wasafi fm na efm ni media zilizojaa wachumia tumbo wanaoendesha maisha Kwa kudhalilisha wenzao. Au sijaelewa ulichomaanisha?
 
IMG_8107.jpg
 
Tunaomba msajili hatutaki zile kauli Yanga wanatembeza Envelope kumbe sisi tukiwa bize kusajili nyie mnapiga umbeya wa Yanga.
Uzuri kanini huwa ni ileile "kuimba kwa kupokezana"
 
SAGAI unahalalisha waandishi kudhalikisha watu kisa wanatafuta riziki? Wasafi fm na efm ni media zilizojaa wachumia tumbo wanaoendesha maisha Kwa kudhalilisha wenzao. Au sijaelewa ulichomaanisha?
Hapa sihalalishi tena nakereka sana lakini sasa kama wenyewe wameamua kujitoa ufahamu na kutumika kiboya ni kuwapuuza tu na mwisho wa siku hata jamii itawadharau kwani siku zote ukweli hujitenga kwenye uongo. Mfano ni Edo Kumwembe alishika bango kuwa wamesafiri na mtoto wa Nabi anakuja Dar kusimamia baba yake kuongeza mkataba lakini wote tumeona ukweli kuwa alituongopea.
 
Simba na Yanga ziongezwe kwenye wale maadui watatu upuuzi umetamalaki Kwasababu ya hivi vilabu..
 
Back
Top Bottom