bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Yes Yanga imeamua kutoka kwenye uswahili na kwenda kwenye ukisasa zaidi, umeshawahi ona wenzetu wenye mpira wao viongozi wanapigiana kelele na wachambuzi uchwara jibu ni hapana.
Yanga ndiyo inakwenda huko, pamoja na kelele nyingi mashambulizi kutoka kwa mashabiki wa Simba, wachambuzi njaa, yanga walioasi...nk Viongozi wameamua kutulia tuli na kufanya mipango yao kimkakati zaidi tofauti na Simba waliozoea kudanganywa, sio ajabu waliletewa Manzoki kama meneja kampeni na kuishia kutoa kashfa kwa Yanga na mashabiki kuishia kupiga naye picha na kumshangilia kama ndio keshamwaga wino.
Viongozi wa Yanga wamewaachia wachambuzi fyongo na vyombo vya habari viseme na kujijibu vyenyewe jana nimeondoka Gazeti moja kubwa tu Linaandika Yanga wamkosa Pitso sijui kama kuna kiongozi yeyote wa Yanga alishawahi toa tamko kwamba wana malengo na Mosimane japo kuwa ni kocha mkubwa Afrika.
Ukitaka kuuza, ukitaka umaarufu kwa sasa iseme Yanga vibaya ni ukweli usiopingika Sio Simba wala Azam habari zao kwa sasa hazina soko kwani zote zimemaliza ligi bila hata kikombe cha kunywea maji au hata medali za bati.
Hongereni sana viongozi wa Yanga.