Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.