Congressman
JF-Expert Member
- Jun 2, 2020
- 781
- 2,305
Hayamuhusuhabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu.
na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. majaliwa ambaye asilimia kubwa watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Mmhhhhh lazima ucheze Kama chama Kama unapiga unadeshiiii
Hujasoma na kasimu majaliwa mkuuUsiku mwema
Unataka asemaje. Sasahabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu.
na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. majaliwa ambaye asilimia kubwa watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
ULITAKA APINGE KIBARUA KIISHE KAMA SPIKA MSTAAFU? HII NI TANZANIA UKITAKA KULA NYAMAZA KIMYAAA au WASIFIE WAHUSIKA KELELE waachie Wapinzanihabari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Kwani akiwa kimya ndio itabadili nini?Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Yaani umeingia mawazoni mwangu kabisa. Huyu mheshimiwa, yawezekana Yuko kinyume na wazo hili. Ila hataki kuwa msemaji maana serikali haijipingi yenyewe, au mdogo hawezi kumpinga mkubwa. Au Yuko Nyutro.Habari Wakuu!
Kama tunavyojua role ya Waziri Mkuu kama mtendaji Mkuu (engine) ya Shuguli za Serikali.
Tofauti na matukio mengine, katika hili la Mkataba wa kuuza bandari zetu hakuna mahali ambapo tumemsikia Waziri Mkuu wetu either akiunga mkono au akipinga udalali huu na zaidi, Ni Greyson Msigwa pekee ndo kaachiwa kutetea jumba bovu.
Ni vyema tukasikia kauli ya Mhe. Majaliwa ambaye asilimia kubwa Watanzania wana imani naye, au la tuamini kuwa ameona akae pembeni kujiepusha na laana hii kubwa kwa Taifa.
Anajua kinachoendelea.Habari Wakuu!