Umemtext mwenyewe ili muachane_halafu unaleta mawashawasha!....anyway niko naye hapa nimemwambia atulie nipo kwa ajili yake and she promise never to go back...ahahahahaaaaaaaaaaHabari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au ndo mie nichanganye za kuambiwa pamoja na zangu?
Umemtext mwenyewe ili muachane_halafu unaleta mawashawasha!....anyway niko naye hapa nimemwambia atulie nipo kwa ajili yake and she promise never to go back...ahahahahaaaaaaaaaa
Mwambie huyo, hayo ya kulia lia wanawake wameenda wanayaacha, anafikiri mpaka anaamua kumtakia hakuwahi onesha dalili, mdada alishajitafutiaga wa kukureplace siku nyingi tu. We umeshuka kuna mwenzio anapanda[/QUOTE]
Yeah!...life goes on
Sasa we unatakaje? ulitaka aanze kulia na kukubembeleza au? Umetuma ujumbe umefika unajiuliza nini sasa, au ulikua unatingisha kiberiti
Haya mambo ni magumu sana,....sidhani kama kuna ulazima wa kumuacha mpnz wako kwa kumwandikia sms(as if she is cheap like....),...nafikiri hapa mkuu senetor uliteleza kidogo ama haujiamini mkuuNdio keshakubali na ndo keshakuacha,na hayo yote ni ujumbe kwako kuwa hukua muhimu kivile na uamuzi wako umemrahisishia kukutoa maishan mwake na kuwa commited kwa aliye muhimu kwake kwa sasa,km inakuumiza pole hope ulikuwa unabip mwenzio ndio kakuvutia waya mkuu!ugulia utafute mwingine maisha yaendelee!
Hapa jamaa alikuwa anajaribu tena kwa dharau kumbe mwenzie naye anatafuta sababu,sasa hapo dukapatikana maana hata ujasiri wa kumpigia kumuuliza hana ataanzia wapi cha msingi augulie tu kwa kujifunza kutokana na makosa!Haya mambo ni magumu sana,....sidhani kama kuna ulazima wa kumuacha mpnz wako kwa kumwandikia sms(as if she is cheap like....),...nafikiri hapa mkuu senetor uliteleza kidogo ama haujiamini mkuu
Hapo ndio ataamini wanawake wanaweza!Hiyo inatafsirika hivi "Nenda mwana wa Kwenda" ......."Huntishi-tish hunibabaish"