Ukimya wake una maana gani??

Ukimya wake una maana gani??

Yu guy yu dont knw what LOVE is...thus y una kurupuka tu na siumtaki? sasa akutext ya nn? kula chuku 50 zako
 
Imekula kipande hiyo mbaya.................Kwani wewe ulitakaje. Inaonesha hujui unachofanya mzee. Jipange upya sio kuchezea watoto wa watu alafu unatuambia hadithi za message hapa!!!!!
 
Umemtext mwenyewe ili muachane_halafu unaleta mawashawasha!....anyway niko naye hapa nimemwambia atulie nipo kwa ajili yake and she promise never to go back...ahahahahaaaaaaaaaa
WOW i like that' lol'
 
Kwisha habari yako,kwanza ulikuwa humfikishi kileleni sasa amempata rijali anamfikisha swaaaafi,na amekudharau kinoma.

sasa mkuu,huo ni ushauri au kashfa?
 
Umemtext mwenyewe ili muachane_halafu unaleta mawashawasha!....anyway niko naye hapa nimemwambia atulie nipo kwa ajili yake and she promise never to go back...ahahahahaaaaaaaaaa

teh!teh!teh!kama kweli vile!
 
kwanza ni jambo lisilo la busara na aibu kumtumia mtu msg muachane kwa nini usimweleze moja kwa moja ... na hapo baada ya kumtumia msg wewe ulitegemea ajibu nini sasa maadam wewe umeamua ?? mbona kuna vitu si vya kufikiria ni vya kuelewa ???
 
asante kwa kunikosoa kistaarabu.
 
Seneter your so fun,, i wish nikujue, najua tunapishana sana Bibo unieleze useneter ulivyoupata,, yaani post zako ni raha kweli always wadau
wanakuwa against senetor hadi najiuliza huo Useneter uliupata vipi maana wapiga kura always hawakupendi au ulitumia njia za ushindi alizotumia presdaa mtembezi a.k.a vasco da gama
 
Si ulitaka muachane?Tayari mmeshaachana!
 
ndio tatizo la SITAKI NATAKA!. pisha njia, ondoa kiwingu wenzio wapite kwa raha zao
 
mkuu umepiga ikulu kwa mawe, ona wahusika walivyokujia juu na nnadhani jibu umelipata. Wenzio wakichoka wanapotezea kimya kimya ili siku 'ukikwama' unarudi kukumbushia enzi. Hiyo style yako ya kibuti ni ya woga sana na haifai kutumiwa na mwanaume. Inawezekana huyo demu ulitongozewa hukumpata kwa kumuimbia wimbo kwa kinywa chao mkuu!

Jifunze ktk hilo!
 
Back
Top Bottom