Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 Tunaijua hiyoUkiombwa namba, unaomba hela
Ukiomba hela, unaombwa utamu
Ukikukubali njoo geto, masuala ya nauli relax
Masuala ya nauli usiwe na wasiwasi agiza bajaj ije geto, nitamlipa bajaji mimi mwenyewe Cash. Pesa cash ninayo geto 🤣
Then ukishafikisha 30’z tukutane kwa Mtume kutafuta muujiza wa Ndoa..
Tatizo mkiombwa namba hua mnahisi mtatongozwa all the time, saa zingine vijana wanataka marafiki wa kike.. sasa kama unakutanaga na vip, nambie ujue we sio attractive enough.. wanakufriend zone. Them smart nowadays!!
Cant argue bout that, but time is coming hata hao wakuwaomba namba hawataonekana, then ndo utaelewa kwann auntie yako ana baby dadies watatu, the system is rigged!!We're too smart dear, Rafiki anajulikana tu and wazee wa ku flirt utawajua pia, so dont judge
Hatuwezi kuwa wa kwanza kwenye historia dear. They say msiba wa wengi hauna kilio, something like thatCant argue bout that, but time is coming hata hao wakuwaomba namba hawataonekana, then ndo utaelewa kwann auntie yako ana baby dadies watatu, the system is rigged!!