Ukiniomba namba, nakuomba hela, ubaya ubwela

Kama vile ila haina shida ya mnunuzi mbona😂
 
Naomba namba yako
 
Mi kama una mtarcle hata kabla ujaomba nakupa cha kufear nini
 
Na mie nakuomba nyapu hapohapo.

Au nakupa hela then nakunawa, mashahidi si wataona nimelipia huduma
 
😂😂😂 Tulikubaliana hatuji
Kuna kiasi ukitajiwa, sio kuja tu bali utakuja kwa nauli yako mwenyewe huku ukiwa umevaa pichu ya mtoko na kipochi manyoya kukifyeka tayari kwa matumizi.

Huwa hatushindwi kukupeleka showroom ukachague gari na kuambiwa ukaichukue siku inayofuata, ukienda unaulizwa gari gani mbona uliekuja nae alikuwa anafanya window shopping tu. Kipndi hicho ushamegwa kitambo.
 
Hii mbinu ya watu wa msamvu huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…