Hahahahahahahahahaha wanataka matango wamesahau kuwa ni tundaKwani bamia sio mbogaaaa!
Kwichi raha Sana tena umpate fundiWatoto wa kike tabia yetu ni kutoridhika hata tupewe nini kazi yetu ni kulialia tu yani
Hivi inakuwaje mtoto wa kike upewe show nzuri na na mwanaume wako na bado umchune?
Siku zote wakuwachuna ni wale wenye vibamia na wavivu kitandani lazima hela imtoke tena sana tu, cuz hawawezi shuhuli ni lazima watoe hela tu
Fundi wa kitanda Hatakiwi kuchunwa bibii weee[emoji108] [emoji108]
Bibie Richabra
Usiache kwenye tume mkuu kama dereva wa tume. Najua kuendesha gari zote, fiat volvo, audi, Chevrolet, honda nk. Ila Auto sijui.hata mimi,
ntaunda tume kamili ya uchunguzi ikiongozwa na mtu mmoja ivi hatari sana
Ayo mashindano sasaSip nyinyi hata mlambwe makalio mtaomba pesa tu. Nanyinyi tukiwashika usiku hakuna kulala mpaka panakucha
haa haa ushafeli mkuu...Usiache kwenye tume mkuu kama dereva wa tume. Najua kuendesha gari zote, fiat volvo, audi, Chevrolet, honda nk. Ila Auto sijui.
Tehetehetehe Mkuu ukiwa hivi utaukosa uroda..[emoji12]unampa hela mwanamke ya nini? nyie mnaowapa wanawake hela ndio mnaowalemaza hao wanatakiwa nao wafanyekazi
Mi nna wasiwasi kama wewe richaabra ni KE.
Bibie Richabra
You are very controversial...