Ukinipa show nzuri siwezi kukuchuna wallah!

Ukinipa show nzuri siwezi kukuchuna wallah!

daaah inawezekana hili nalo lipo,
unaeza mpiga show mtoto watu mara ya kwanza alikua anakuringia ila akionja tu anakung'ang'ania balaa, inaweza kua ni matunda ya show pevu lol!
 
Watoto wa kike tabia yetu ni kutoridhika hata tupewe nini kazi yetu ni kulialia tu yani

Hivi inakuwaje mtoto wa kike upewe show nzuri na na mwanaume wako na bado umchune?

Siku zote wakuwachuna ni wale wenye vibamia na wavivu kitandani lazima hela imtoke tena sana tu, cuz hawawezi shuhuli ni lazima watoe hela tu

Fundi wa kitanda Hatakiwi kuchunwa bibii weee[emoji108] [emoji108]
Kwichi raha Sana tena umpate fundi
 
hata mimi,
ntaunda tume kamili ya uchunguzi ikiongozwa na mtu mmoja ivi hatari sana
Usiache kwenye tume mkuu kama dereva wa tume. Najua kuendesha gari zote, fiat volvo, audi, Chevrolet, honda nk. Ila Auto sijui.
 
Usiache kwenye tume mkuu kama dereva wa tume. Najua kuendesha gari zote, fiat volvo, audi, Chevrolet, honda nk. Ila Auto sijui.
haa haa ushafeli mkuu...
ayo magari manual waliendesha babu zetu we hadi leo umekomaa nayo, achana na ayo njoo kwenye utelezi huku, yani kitu unakanyaga tu hadi unalala unashitukia matairi yako juu....!!
hapo ndio unapokuja kumbuka automatic ni gari ya aina gani, ila uongo mbaya mi ni addicted na auto manual tupa kule tunazeeshana bure.
 
Back
Top Bottom