Ukinitibua Nami Nakutibua


Wewe mpuuzi hata baiskeli huna unakuja kupiga kelele hapa?
 
umeshatengeneza Vitz yako lakini? ...........

Grand PA
 
Niko nae hapa anauliza kwani unatakaje..! Kama kweli wazimu umekupanda vua sasa tuone au ni bla blah tu.!

Nshavua hapa nilipo nikimkuta ama zake amazangu lazima nimtibue, kisa ana hela ndo nimkubali
 
Hahaha. Ngoja kwanza, zile hela zake ungemrushia mlinzi manake jamaa lazma alikuwa anakucheki kwenye kioo. Hajui umetoka mamtoni jana? Howz ya jetlag kwanza?
 
Dada mbona una mapromo sana?
Sio promo mwaya nimetibuliwa na hapawazimu ushanipanda, kama kesho kuna kazi ntaendaje kazini na bonnet linebonyea...
 
nahisi hata mimi sijamuelewa.. What is this?
 
Dola Mia Mia,ziko 20 e❓❕➖exchange rate ➖1650Tsh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…