miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Nataka kuhama jf maana kila mtu ana gari, wanajf wote wanaishi mikocheni,masaki,osterbey! kumbe sisi choka mbaya hatustahili kuwa jf.
Sifanyagi mambo hayo, mie ntahakikisha namgonga gari yake na yeye mwenyewe kisha najipeleka polisi maana dola za kumhonga sina
Gari now days kama simu tu isikupe presha..... bei zenyewe za kawaida tu elmradi unatembea umekaa
Bei zipi hizo za kawaida?
Hahaha. Ngoja kwanza, zile hela zake ungemrushia mlinzi manake jamaa lazma alikuwa anakucheki kwenye kioo. Hajui umetoka mamtoni jana? Howz ya jetlag kwanza?
Bling bling, money ain't a thang.
Next time I'll make it flood on you with ten bands.
aaahh wapi, sina nyege na watu wenye dharau kwanza nina hasira nae siwezi fall kwake hadi nimtibue