Ukinitibua Nami Nakutibua

Ukinitibua Nami Nakutibua

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Wazimu unataka kunipanda, na nnavojijua wazimu wangu ukinipanda hata nguo ntavua. Weekend imeenda vizuri tuu niko pembezoni mwa bahari alone akaja jamaa mmoja hivi akaanza kuniimbisha.

Haikuwa na shida tatizo ni MC sana yaani msema chochote mie akaniboa nikamlia kobis nikaingia JF ili aondoke. Hee macho kodo yuko sister na wewe uko JF, unatumia ID gani na blah blah kibao, nikaona isiwe tabu nikainuka kuelekea kwenye ndinga niishie kumbe alinifatilia kwa nyuma kuniona naingia kwenye gari akaenda mbio kwenye gari lake aniwahi getini.

Nafika getini nataka kutoka naona range sports jeusi limeblock geti na limewasha taa zahazard kupiga honi aanatoka jamaa aliyeniboa. Alinisalimia kisha akaingia kwenye gari na kurudi nyuma kwa nguvu akanigonga.

Gari yake haikuumia ila yangu ilibonyea bonnet, akashuka kwenye gari nikiwa na hamaki akanitupia kibunda cha dola mia mia chenye noti 20. Kisha akaniambia sku nyingine usilete nyodo kwa watu wenye hela halafu akaingia kwenye gari akaondoka.

Yaani nilipandwa na hasira na wazimu hata nikataka kutembea bila nguo. Pamoja na kujua una range umeniboa wala hujanishawishi na pesa zako. Najua umo humu na utaisoma hii kaa ukijua lazima nikutibue.

Wazimu umenipanda Kasinde nivue nisivue...
 
kasinde being kasinde .........naona waliokumiss sasa roho kwatu
 
In the Ferrari or Jaguar, switchin four lanes
With the top down screamin out money ain't a thang

That dude sounds just like me.....
 
Wazimu unataka kunipanda, na nnavojijua wazimu wangu ukinipanda hata nguo ntavua.
Weekend imeenda vizuri tuu niko pembezoni mwa bahari alone akaja jamaa mmoja hv akaanza kuniimbisha. Haikuwa na shida tatizo ni MC sana yaani msema chochote mie akaniboa nikamlia kobis nikaingia JF ili aondoke. Hee macho kodo yuko sister na wewe uko JF, unatumia ID gani na blah blah kibao, nikaona isiwe tabu nikainuka kuelekea kwenye ndinga niishie kumbe alinifatilia kwa nyuma kuniona naingia kwenye gari akaenda mbio kwenye gari lake aniwahi getini. Nafika getini nataka kutoka naona range sports jeusi limeblock geti na limewasha taa zahazard kupiga honi aanatoka jamaa aliyeniboa. Alinisalimia kisha akaingia kwenye gari na kurudi nyuma kwa nguvu akanigonga. Gari yake haikuumia ila yangu ilibonyea bonnet, akashuka kwenye gari nikiwa na hamaki akanitupia kibunda cha dola mia mia chenye noti 20. Kisha akaniambia sku nyingine usilete nyodo kwa watu wenye hela halafu akaingia kwenye gari akaondoka. Yaani nilipandwa na hasira na wazimu hata nataka kutemoja na kujua umeniboa wala hujanishawishi na pesa zako. Najua umo humu na utaisoma hii kaa ukijua lazima nikutibue.

haukuchukua hata unyayo? huupeleke kwa babu?
 
Niko nae hapa anauliza kwani unatakaje..! Kama kweli wazimu umekupanda vua sasa tuone au ni bla blah tu.!
 
Kasinde the Drama Queen.....

This is not the drama, wee mzee wa picha hebu pata picha ya tukio lililonitokea kaniachia dola zake ila nnahasira nae...
 
uvue utuchafulie hali ya hewa hapa, rudi ulikukua,.
 
In the Ferrari or Jaguar, switchin four lanes
With the top down screamin out money ain't a thang

That dude sounds just like me.....
If its really u stay tuned for Kasinde's game
 
haukuchukua hata unyayo? huupeleke kwa babu?
Sifanyagi mambo hayo, mie ntahakikisha namgonga gari yake na yeye mwenyewe kisha najipeleka polisi maana dola za kumhonga sina
 
Back
Top Bottom