"Nakutema mazima" maana yake ndio nini? Mwenyewe una kiswahili cha kishamba sana mkuu punguza mbwembwe.Sijui ni mimi tu , au pia wenzangu mko hivyo yan kama tunachart ukishanitumia huo ujinga wa sticker zile za vibonzo au nyinginezo na zile vilugha sijui vya xaxa nakutema mazima yan kwa huo mjadala, utakuta lijanaume zima linaleta pigo hizo, nakudharau mazima yani.
Sijui kwenu wenzangu ikoje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ajitia stress za bure bado mdogo..... Akizeeka je,Unajiona special kumbe fala tu mmoja...kwahiyo ukishamdharau ndo nini anakufa au?