kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Sijui ni mimi tu , au pia wenzangu mko hivyo yan kama tunachart ukishanitumia huo ujinga wa sticker zile za vibonzo au nyinginezo na zile vilugha sijui vya xaxa nakutema mazima yan kwa huo mjadala, utakuta lijanaume zima linaleta pigo hizo, nakudharau mazima yani.
Sijui kwenu wenzangu ikoje
Sijui kwenu wenzangu ikoje