Hata hiyo kuchat text nyiingi ni kwa vijana bado haujafikia peak ya kuwakataa hao wenzako,bado upo nao kundi moja ni vile una-force!
Legendaries wanatumiana kama ni picha au file kisha mazungumzo mengine ni kwa calls,huwa nashangaa mtu anakutumia pic ya kitu halafu anataka muelezane utofauti na usawa wake kwa njia ya jumbe fupi,ngumu sana but mkiwa hewani rahisi kuelewana.