Ukiniuliza ni kwanini leo nina Furaha ya ‘ Ajabu ‘ basi sababu zangu Kuu ni hizi Nne ( 4 ) tu

Hapo ndipo mnapo zidi kuwakusanyia ushahidi wa kutosha TAKUKURU inabidi kesho TFF watufafanulie ni kwajinsi gani kagera sugar inashuka daraja wakati kagera sugar kafunga mabao 33 na kufungwa 43,hapo hapo stand united kafunga 38 na kugungwa 50.Watalaam wa hesabu na maswala ya michezo naombeni mtusaidie utofauti wa magoal(goal difference) ikoje.
Point kwa timu zote ni sawa(44)
 
Kama kweli wanamichezo wapenda haki nchini na vyombo vya habari watapalilia uonevu huu wa kumshusha kagera kwa kisingizio cha kwamba anamsumbua simba ili hali ushahidi unaonekana.Live score zote duniani zinaonesha goal difference kagera -10,stand -12 hilo goal 1 limetoka wapi? na kwann lipunguzwe huku liongezwe kwingine?
 
Imeniuma sana mimi kama mpenda haki nisie kua na usimba na uyanga niko kati kati eti kwa kua tff inaongozwa na element za usimba basi mtu afanyiwe figisu kama hizo?kweli?Chonde chonde tff kesho mje na majibu ya kutosha.
Team saa 12 jion imeambiwa itacheza playoff badae saa 2 usiku inaambiwa eti imeshuka daraja kweli jamani? Kwa mantiki ipi?
 
Kaeni na live score zenu duniani msimamo wa tff upo wazi inaangaliwa head to head stand atacheza play off kagera kashuka daraja Team ya kinafiki sana ninafuraha sana hapa tunapiga mvinyo tu asanteni sana mbao fc
 
Asante Sana Kagera Na Kwaheli Acha Nifurahie Kushuka Kwako Mpumbavu Wewe Kagera Ulikuwa Unaiwaza Simba Yamekukuta Asante Sana Mbao Kagera Bai Malinzi Hayupo Ange Wakombowa Mwe!
 
MBONA Katwila Yanga na mechi ya Simba anampanga Kado. Umemkubali Matola baada ya mechi ya pili kufix sio na Amri Saidi. Hongera sana ila nashangaa wapenzi wa Simba kushangilia kushuka kwa Kagera Sugar ikiwa wao level yao ni kina TP Mazembe Al Ahly na AS Vita
 
Umesahau walipochezeshaga mchezaji ana kadi tatu za njano! Wakala njama na TFF ya malinzi! Wacha wapate malipo yao na wao. Game balanced.
 
Ukil Ukileta hizo tutakufutia uraia wako wa kuandikishwa urudi kwenu Rwanda, Kenge mkubwa wewe, ukimwaga mboga wenzio wanamalizia Ugali.
 

Acha ' Unafiki ' kwani kwa Maelezo yako tu haya umeshajipambanunua kuwa Wewe ni mwana Yanga ' lia lia ' kabisa. Kama unawaonea ' Huruma ' hao ' Wapuuzi ' Wenzio Kagera Sugar nenda Kachezee nao huko Ligi Daraja la Kwanza ili uwasaidie kuwarudisha Ligi Kuu mwakani. Na kwa ' Umafia / FigisuFigisu ' ambayo tunaenda kuwafanyia huko huko wanakoshuka wakipanda tena Ligi Kuu ' wakatambike ' katika ' Mizimu ' yao. Nimefurahi mno kama siyo sana kwa Wao ( Kagera Sugar ) Kushuka rasmi Daraja jana. Safi ile mbaya!
 
Kaeni na live score zenu duniani msimamo wa tff upo wazi inaangaliwa head to head stand atacheza play off kagera kashuka daraja Team ya kinafiki sana ninafuraha sana hapa tunapiga mvinyo tu asanteni sana mbao fc

Furahi Mkuu kwani hata Mimi leo imenibidi niamke nazo tu hapa ni ' Bomba / Chicha ' ile mbaya kwa Kagera Sugar Kushuka Daraja.
 
Ukil
Ukileta hizo tutakufutia uraia wako wa kuandikishwa urudi kwenu Rwanda, Kenge mkubwa wewe, ukimwaga mboga wenzio wanamalizia Ugali.

Ofisi za UHAMIAJI huzijui zilipo Mkuu? Wahi ukanishtaki au kama unataka Namba zao sema nikupe. Swine.
 
Sema Mara nyumbani kwenu sio asili yenu fala we..
 
Japo mimi si mwenyeji wa Mara ila nilishaishi huko na nimefurahi kwa Biashara kubaki ligi kuu na nina mpango wa kuagiza ile jezi yao mpya nyeupe imesimama kishenzi, natafuta logistics za namna ya kuipata ile jezi nadhani ndo jezi nzuri kwa timu za ligi kuu kwa sasa hasa baada ya udhamini mpya
 
Kwa huu usimba na uyanga soka letu lina safari ndefu sana.mwenye haki ananyang'anywa anapewa mwingine ambae hastahili na chama cha soka kna bariki uozo huo viongozi kama hao hawatufai.
Kwa uozo huo uliofanyika dunia yote imeona kama ni kumshusha kwanini wasingemfwekelea mbali kwenye match ya play off afungwe maksudi ashuke kulko kufanya ivo walivofanya
 
BODI YA LIGI YAIREJESHA KAGERA SUGER PLAY OFF.

HEMED KIVUYO.

Bodi inayosimamia ligi kuu Nchini imekiri Kuwepo kwa Makosa ya takwimu Na kuirejesha timu ya Kagera suger katika ligi kuu ambapo sasa inacheza hatua ya play off.

Akingea Na ITV mtendaji mkuu wa bodi hiyo Boniface wambura AMESEMA kwa Makosa hayo ofisi yake inawajibika kwa kumpa adhabu aliyepotosha takwimu hiyo.

Kwa Mustakabali huo timu ya Stand United in ashuka daraja moja kwamoja Na Kagera suger italazimika kucheza michezo miwili ya play off ili kupata ridhaa ya Kuendelea Na ligi kuu msimu ujao
 
Wamebahatika aseee ila uko play off yanaweza kutoka
 
Hahahaaaaaa! Haya yapo bongo tu kama sheria ya takwimu inaingia katika maswala ya michezo huyo mtoa takwimu sheria ya takwimu inamhusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…